Nafasi ya college clinical medicine

Nafasi ya college clinical medicine

salum hashim

New Member
Joined
May 25, 2021
Posts
4
Reaction score
1
Habari zenu wakuu nauliz kuhusu vyuo ninavyoweza pata nafasi ya masomo kwa course ya clinical medicine kwa wakat huu baada ya kukosa katika gorvenment l...
 
Pole aise. Wote ni wahanga katika hili vijana wengi wamekosa nafasi vyuo vya serikali mwaka huu.
Ingia website ya Nacte click link registered Health institutions utaona vyuo vyote vya Afya.
Unaweza pia andika ukatafuta kupitia google itakuletea halafu chagua chuo unachotaka asome nenda kwenye website yao angalia namna ya kutuma maombi
 
Habari zenu wakuu nauliz kuhusu vyuo ninavyoweza pata nafasi ya masomo kwa course ya clinical medicine kwa wakat huu baada ya kukosa katika gorvenment l...
Vipo vingi, issue ni ADA.

Ni zaidi ya 2M kwa mwaka tena unakaa nje ya hostel.
 
Habari zenu wakuu nauliz kuhusu vyuo ninavyoweza pata nafasi ya masomo kwa course ya clinical medicine kwa wakat huu baada ya kukosa katika gorvenment l...
Kama una hela nenda Mvumi hutajuta mzee,,Sengerema pia kipo fresh mchawi pochi
 
Back
Top Bottom