Nafasi ya bodaboda katika jamii

Duh.... Bujibuji umenishtua.....huyo mgonjwa au maiti?
 
Last edited by a moderator:
mmh! jamaa ana roho
 
Ndio ambulance au?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
we nae....kama kusoma hujui.....hata picha huelewi.....

Acha ukuda wewe...kwani mm nakaa kijijini !! Huoni huyo mwanamke alopakiwa ana tumbo kubwa.....sasa mm nitajuaje kama maiti, labda mja mzito kazidiwa anapelekwa hospital
 
Hii ndo hali halisi ya nchi yetu wabunge wanapewa magari ya kifahari kila kukicha wakati huk vijijini ambulance tunazionaga kwenye move za kimarekani, tunamshukuru mchina kwa hizi pikpik za bei nzuri ambazo wakati mwingine tunazitumia km ambulance
 
Boflo! Nawewe leo vp? Mbona ndiyo picha zako hizi sana! Na ninakushangaa leo unacheua hivi?

Punguza jazba!
Ndio maisha bora kwa kila Mtanzania na hiyo ndio kauli mbiu ya chama cha mafisadi mwaka ule walipokuwa wanawahadaa Watanzania wawape kura 2005 na ndio imekula kwetu!


Acha ukuda wewe...kwani mm nakaa kijijini !! Huoni huyo mwanamke alopakiwa ana tumbo kubwa.....sasa mm nitajuaje kama maiti, labda mja mzito kazidiwa anapelekwa hospital
 

si huyu Preta ....hana maana kabisa
 
Last edited by a moderator:
Acha ukuda wewe...kwani mm nakaa kijijini !! Huoni huyo mwanamke alopakiwa ana tumbo kubwa.....sasa mm nitajuaje kama maiti, labda mja mzito kazidiwa anapelekwa hospital

ishia hukoo.....mama mjamzito abanwe hivyo na mipira.....hebu njoo tukubane wewe uone utamu wake.......
 
Napenda malumbano ya Preta na Boflo. Btw Boflo mbona hujamwekea Preta lile zengwe ulotishia kumzushia? Sasa nimeamini alilosema Preta kuwa humtishi anakuweza.
 
Last edited by a moderator:
CCM nambari one; endeleeni kuichagua

UOTE=andybird314;4747185]Ndio ambulance au?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums[/QUOTE]
 
Napenda malumbano ya Preta na Boflo. Btw Boflo mbona hujamwekea Preta lile zengwe ulotishia kumzushia? Sasa nimeamini alilosema Preta kuwa humtishi anakuweza.

Nilifata busara za watu wa kale....Walisema: Penye kuku wengi usimwage mtama......
 
CCM nambari one; endeleeni kuichagua

UOTE=andybird314;4747185]Ndio ambulance au?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…