Wapi zinapatikana mkuu?M1.2 Mpya Za Kichina Had 800k kwa Za Sido nadhan wajuzi zaid watakuja
Hizo za kichina kuna jamaa alikuwa anatangaza kuwa anauza humu jf nadhan ukimtafuta utapata hapo daslamu au kama una ndugu au unaweza kufika kkoo ukiuliza utapata mpya kabsaWapi zinapatikana mkuu?
MbagalaNdo wapi huko?