MyElimu ni social enteprise yenye lengo ya kusaidia wanafunzi wa sekondari waweze kusoma kwa urahisi ufasaha, na kutumia kile walichosoma kujiendeleza. MyElimu ilianza mwaka 2014 kama platform ya discussion kwa wanafunzi wa sekondari. Wanafunzi wanajadiliana na wenzao kupitia mtandao wa
myelimu.com.
Mwaka 2015, tulipewa tuzo na Malkia Elizabeth II wa Uingereza kutokana na namna tunavyotumia technology kuboresha elimu kwa vijana wa Tanzania na hatimaye Africa kwa ujumla.
Kwa sasa, tunakuza team yetu ili kuweza kufanya mambo mengi zaidi na kuwafikia wanafunzi wengi zaidi. Kutokana na hilo tunahitaji kuongeza walimu na ndipo hapo ambapo hili tangazo linaingia.
I hope nimejitahidi kujibu.