Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
Hello. Kuna nafasi za walimu kwa ajili ya kujiunga na shirika la MyElimu kufundisha masomo ya sekondari. Mwalimu awe na uwezo wa ufundisha masomo mawili, awe fluent kwenye kiingereza na mjuzi wa kutumia mitandao.
About MyElimu
MyElimu ni social enteprise yenye lengo ya kusaidia wanafunzi wa sekondari waweze kusoma kwa urahisi ufasaha, na kutumia kile walichosoma kujiendeleza. MyElimu ilianza mwaka 2014 kama platform ya discussion kwa wanafunzi wa sekondari. Wanafunzi wanajadiliana na wenzao kupitia mtandao wa myelimu.com.
Mwaka 2015, MyElimu ilipewa tuzo na Malkia Elizabeth II wa Uingereza kutokana na namna tunavyotumia technology kuboresha elimu kwa vijana wa Tanzania na hatimaye Africa kwa ujumla.
Kwa sasa, MyElimu inakuza team yetu ili kuweza kufanya mambo mengi zaidi na kuwafikia wanafunzi wengi zaidi. Kutokana na hilo nafasi zimefunguliwa kwa ajili ya walimu kujiunga na MyElimu.
Walimu wanaohitajika ni wa sekondari wa Kiswahili, English, Math, Biology, Physics Chemistry na Geography. Full time na part time.
Tuma CV na cover letter kwenda jobs@myelimu.com. You can reach to us via our social media accounts for more information. Deadline ni 13th January 2018, 23:59.
NB: