Mamlaka ya bandari Tanzania wametoa nafasi za kazi leo.legal officer(6 post) na procurement officer (6 post) source DAILY NEWS 30/01/2015 na www.vijanajobs.com
Kila la kheri waombaji
Kila la kheri waombaji
Mamlaka ya bandari Tanzania wametoa nafasi za kazi leo.legal officer(6 post) na procurement officer (6 post) source DAILY NEWS 30/01/2015 na www.vijanajobs.com
Kila la kheri waombaji
hiyo kitu pia nimeiona sikuielewa vizuri,maana kazi zote mbili responsibilities na qualifications zipo sawa, sijajua wamemaanisha nini.Nahisi kuna shida kwenye tangazo kwani legal officer na procurement officer hawawezi kuwa ma key responsibilities na qualification sawa!!
hiyo kitu pia nimeiona sikuielewa vizuri,maana kazi zote mbili responsibilities na qualifications zipo sawa, sijajua wamemaanisha nini.
Umakini umepungua sana na kama kweli mtu aliyetoa hili tangazo ni makini basi hastahili kuwa na mamlaka ya kutoa tangazo hili.Nahisi kuna shida kwenye tangazo kwani legal officer na procurement officer hawawezi kuwa ma key responsibilities na qualification sawa!!
Ukiona ivo jua kuna Harufu ya Utapeli alafu TPA wana watu wao palee wanaowatrain kwa muda mrefu sasa nadhani.Nafasi ni zao moja kwa Moja bila Ajizi!!!
mshahara kwa nafasi zote ni TPGS 6
Procurement officer analinganishwa NA mtu WA law???
Naona tangazo la TPA limetoka upya leo Daily News. Wamebadili vigezo.
Ni nn maana yake kwenu GT? Inamaana hakulisoma kabla hawajatoa? Au wameona upepo mbaya? Ni dhahiri kwamba wanao wataka wanao ndani, ndio maana hawakuweka nguvu nyingi kuelewa kwa undani wanacho kitangaza.
man naomba unisaidie vigezo vipya vya procurement officer walivyotoa