Nafasi Mpya za Kazi - INUKA

Nafasi Mpya za Kazi - INUKA

dad24

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
464
Reaction score
121
Mkaguzi wa Mahesabu
Mradi wa Maendeleo ya Wanawake [INUKA]
Area: Dar Es Salaam
Position Description:

Mradi wa maendeleo ya wanawake [INUKA] Unatangazia nafasi za kazizifuatazo:

4.Mkaguzi wa mahesabu

Sifa za Mwombaji:
-Awe amemaliza chuo chochote kinachotambulika,
-Awe na cheti cha Chuo alipomaliza
-Awe na cheti cha Kuzaliwa
-Awe Mtanzania
Awe na uwezo wa uelewa wa kazi.

Viwango vya Mshahara
Cheti: 250,000/=
Diploma 300,000/=
Shahada 500,000/=

Maombi yanatakiwa yafike kabla tarehe 07/02/2014 usaili utafanyikaTarehe 12/02/2014 saa 2:30 Asubuhi katika Jengo la CCM kata yaManzese
BArua za Maombi zipelekwe ofisi ya CCM Tawi la Tupendane Mtaa waKilimani au Ofisi za CCM Kata ya Manzese.
Au Tuma Kwa:
Mratibu wa Miradi ya maendeleo ya wanawake[INUKA]
Wilaya kinondoni.
S.L.B 55031
Dar es Salaam.
Email:angelojrem@gmail.com
Phone: +255 688 422 340
Nafasi ni Chache lete maombi haraka.
Application Instructions:
BArua za Maombi zipelekwe ofisi ya CCM Tawi la Tupendane Mtaa wa Kilimani au Ofisi za CCM Kata ya Manzese.




Afisa Mradi
Mradi wa Maendeleo ya Wanawake[INUKA]
Area: Dar Es Salaam
Position Description:

Mradi wa maendeleo ya wanawake [INUKA] Unatangazia nafasi za kazizifuatazo:

3.Afisa Mradi
Sifa za Mwombaji:
-Awe amemaliza chuo chochote kinachotambulika,
-Awe na cheti cha Chuo alipomaliza
-Awe na cheti cha Kuzaliwa
-Awe Mtanzania
Awe na uwezo wa uelewa wa kazi.

Viwango vya Mshahara
Cheti: 250,000/=
Diploma 300,000/=
Shahada 500,000/=

Maombi yanatakiwa yafike kabla tarehe 07/02/2014 usaili utafanyikaTarehe 12/02/2014 saa 2:30 Asubuhi katika Jengo la CCM kata yaManzese
BArua za Maombi zipelekwe ofisi ya CCM Tawi la Tupendane Mtaa waKilimani au Ofisi za CCM Kata ya Manzese.
Au Tuma Kwa:
Mratibu wa Miradi ya maendeleo ya wanawake[INUKA]
Wilaya kinondoni.
S.L.B 55031
Dar es Salaam.
Email:angelojrem@gmail.com
Phone: +255 688 422 340
Nafasi ni Chache lete maombi haraka.
Application Instructions:
Maombi yanatakiwa yafike kabla tarehe 07/02/2014 usaili utafanyika Tarehe 12/02/2014 saa 2:30 Asubuhi katika Jengo la CCM kata ya Manzese
 
Kupitia ofisi ya ccm tena? Duh haya mambo,unapoomba usisaha kadi ya chama kuweka ndani kama haukuiona vile kama imo kwenye viambata vya maombi yako.
 
Hiyo hailipi mshara 250000 hadi 500000 kodi ya nyumba plus gharama za maisha mwsho wa mwez unabak na nini hii chenga
 
hailipi kwako acha kuwakatisha watu tamaa ww hapo unalipwa ngapi au unataka uombe mwenyewe tu
 
Siwezi kudharilisha degree yangu,hata kama ningekua sina experience ya kazi,kwa kupewa 500,000/=!
 
Siwezi kudharilisha degree yangu,hata kama ningekua sina experience ya kazi,kwa kupewa 500,000/=!

Kwako ndogo lakini kwawenzio kubwa...hata siku moja hali zetu za kiuchumi haziwezi fanana..tambua kwamba kuna mwenzako kwa siku anakula mlo mmoja tu ana anatamani apate kazi ata ya kulipwa laki mbili na haipati..acha kudharau kazi
 
kwani umelazimishwa kutuma maombi?????????? acha sisi wenye shida na hiyo lak 5 tupeleke maombi yetu
 
Nimeenda kupeleka leo barua naambiwa barua ni nyingi mno zipo kama 400.sitanii wadau.kama unataka maelezo nikuelekeze ofisi zilipo ni pm asante
 
Hivi unakuta boss kabisa aliye na utashi kabisa kaandaa hilo Tangazo.
Tangazo kama la uongo na hawapo serious.
TATIZO LA AKILI NDOGO KUTAKA KUONGOZA AKILI KUBWA:angry::angry::angry:
 
Back
Top Bottom