Kaka tunashukuru kwa hii taarifa ila nimeingia kwenye hiyo link imenipeleka kwenye website yao,sasa wakati naattach docs kwa ajili ya application kwenye email waliyoitoa naona email haiendi inakuja report ya permanent failure..sijui kunani tena na hawajatoa means nyingine ya kuapply