Mushi Richard E
Member
- Jan 21, 2011
- 11
- 0
Je wewe ni Computer Programmer? Nafasi mbili za kazi hizi hapa.
Nitaandika kwa lugha ya nyumbani.
Kampuni ya E-Fulusi Africa (T) Ltd iliyopo Dar Es Salaam, imebobea katika nyanja za kutengeza systems hasa za Mobile Banking, Payment Systems, SMS projects n.k. Njoo ufanya kazi na vijana machachari kwenye uwanja huu, huku unapata donge nono na fursa nyingi sana za kukuza uwezo wako.
Karibu kama wewe ni PHP developer , njoo tuzungumze.
Tunakuhitaji kama tu:
Andika na tuma CV kwenda: rmushi [at] efulusi.com.
Waombaji wote watajibiwa.
Tembelea www.efulusi.com upate mwangaza wa kazi zetu

- Unafahamu PHP, Java, Javascript, Jquery, Mysql (ushindani ni mkubwa, inabidi ujue hasa!!).
- Unaweza na umezoea kutumia Linux.
- Una maarifa kuhusu (lazima!!) IP networking, Network analysis, performance and application issues.
- Una uzoefu walau wa mwaka mmoja tu kwenye hayo masuala hapo juu itapendeza zaidi.
- Vingine ukiwa navyo vitafanya tupendelee kuwa nawe na si wenzako: Mfano: XML/RPC, Web Services(JaxWS), REST, JSON, CodeIgnigter frame work, Ruby and Shell.
Andika na tuma CV kwenda: rmushi [at] efulusi.com.
Waombaji wote watajibiwa.
Tembelea www.efulusi.com upate mwangaza wa kazi zetu