Nafasi kwa folkal-lift

alcacer

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
238
201
Habari za muda huu waungwana,

Mungu ni mwema .nije kwenye mada wakuu, kwa mwenye connection ya kazi kwa mtu wa folkal lift nimesoma bandari collage pale nakuahidi 60% of my 1st salary.

NAKUKARIBISHA PM

ASANTE.
 
Jaribu uizungukie kurasini yote mzee huwezi kosa. Cheki kwenye Icd's (container depots hizo zote).

Pia kwenye warehouses za kurasini.

Pia jaribu kucheki forklift operators wenzako ambao tayari wapo kwenye industry wakupe connection.
 
asante sana mkuu kwa kunipa mwanga
 
Jaribu uizungukie kurasini yote mzee huwezi kosa. Cheki kwenye Icd's (container depots hizo zote).

Pia kwenye warehouses za kurasini.

Pia jaribu kucheki forklift operators wenzako ambao tayari wapo kwenye industry wakupe connection.
Na hiiyo ndio namna sahihi, ukitembea location unapata mamb meng na kujua watu weng zaid wa carrier yako

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom