Nafasi kede kede za Bank of Tanzania - MTWARA Branch

MIMI siwakatishi tama ila kila mtu ana bahati yake.

Ila niliitwa kwenye interview ya Training Coordinator wa BOT, walichotufanyia pale ni udhalilishaji mtupu. Kama humjui mtu bwana usubiri rehema za mungu tu. au Magofuli akiingia abadilishe mfumo wa kupata ajira BOT hata CC watoto wa walalahoi tuingie BOT.

Yan tuliitwa watano, ila wawili kati yetu walitwa kwa majina wakatuacha receiption kwa masaa ma4 baada ya kufanya written interview huku yule aliyewaita akiwa na majibu yetu kwenye flash tukisubiri kufanya presentation.

Nilipotoka nikauliza mfanyakazi mmoja utaratibu wa kufanya interview hapa mbona wa ajabu sana, akanijibu "wewe unamjua nani hapa" yani pale BOT basi nikaondoka na hasira na upweke wangu.
 
MIMI siwakatishi tama ila kila mtu ana bahati yake. Ila niliitwa kwenye interview ya Training Coordinator wa BOT, walichotufanyia pale ni udhalilishaji mtupu. Kama humjui mtu bwana usubiri rehema za mungu tu. au Magofuli akiingia abadilishe mfumo wa kupata ajira BOT hata CC watoto wa walalahoi tuingie BOT. Yan tuliitwa watano, ila wawili kati yetu walitwa kwa majina wakatuacha receiption kwa masaa ma4 baada ya kufanya written interview huku yule aliyewaita akiwa na majibu yetu kwenye flash tukisubiri kufanya presentation. Nilipotoka nikauliza mfanyakazi mmoja utaratibu wa kufanya interview hapa mbona wa ajabu sana, akanijibu "wewe unamjua nani hapa" yani pale BOT basi nikaondoka na hasira na upweke wangu.

God is watching
 
Tunashukuru japo wameweka box bila email, nadhani ni vizuri wangeweka option zote mbili kuliko posta pekee! Shukran mdau
 
Tunashukuru japo wameweka box bila email, nadhani ni vizuri wangeweka option zote mbili kuliko posta pekee! Shukran mdau

hhhahahaha mkuu hutaki hata upoteze hela ya kutuma application unataka ununuwe vocha ujiunge Mb za kutosha ili uwatumie tuu kwenye email
 
Unaweza poteza costs za kupeleka posta halafu hata usiitwe kwenye usaili
Bora wangetoa plan B
 
hhhahahaha mkuu hutaki hata upoteze hela ya kutuma application unataka ununuwe vocha ujiunge Mb za kutosha ili uwatumie tuu kwenye email

Ha ha ha wengine tuko kwa bibi mkuu, kuitafuta posta sio mchezo, pia ukifika posta si inabidi utumie zile njia za gharama kama ems, n.k, maana ile ya kawaida mpaka barua ikafike na waichambue si usaili umeshapita mkuu, email inarahisisha ila haina jinsi ngoja tujaribu
 
Kumsubiri magufuri atukomboe ni sawa na kusubiri ndege bandarini. Tatizo mfumoo
 
Back
Top Bottom