Nafasi bot

Nafasi bot

jajis

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
93
Reaction score
13
Jamani mwenye taaarifa kuhusu zile nafasi zilzo tangazwa na bot watu walisha itwa kufanya usail
 
Jamani mwenye taaarifa kuhusu zile nafasi zilzo tangazwa na bot watu walisha itwa kufanya usail

una ndugu yyte kule BOT...? Kama una basi anza kujenga urafiki hata na Housemaker wa bwana Benno Ndullu uenda mwakani kwenye posts zingine utaitwa mkuu.
 
Sina hata ndugu hapo bot ndo kusema kuwa watu tayari wapo kazini wenye ndugu zao
 
Siku hizi wamejaa wapogoro na wandamba wakina Lumbanga!!
 
Back
Top Bottom