BONANZA FOOD AND BEVERAGE
Tunahitaji wahudumu wa Kike(Vijana) kwenye mgahawa wakati wa Tamasha la Kimataifa la ZIFF. wenye ujuzi na uelewa wa lugha za kimataifa zaidi ya moja,ukarimu na wepesi, uzoefu wa biashara ya vyakula/vinywaji.
Contact:+255774393333