NAFASI 4 ZA KAZI KATIKA TAMASHA LA ZIFF(18 - 26 June, 2011 | Zanzibar International Film Festival) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAFASI 4 ZA KAZI KATIKA TAMASHA LA ZIFF(18 - 26 June, 2011 | Zanzibar International Film Festival)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mkwatis, May 26, 2011.

 1. mkwatis

  mkwatis JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 336
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  BONANZA FOOD AND BEVERAGE
  Tunahitaji wahudumu wa Kike(Vijana) kwenye mgahawa wakati wa Tamasha la Kimataifa la ZIFF. wenye ujuzi na uelewa wa lugha za kimataifa zaidi ya moja,ukarimu na wepesi, uzoefu wa biashara ya vyakula/vinywaji.

  Contact:+255774393333
   
 2. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Muda gani mbona hujataja !? mwezi mmoja miezi sita eeh! ?
   
 3. frozen

  frozen Senior Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna kijana, nahisi atakufaa anaonge kiingereza vema na kifaransa kidogo, bila kusahau kiswahili, ntamshauri akutafute
   
 4. mkwatis

  mkwatis JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 336
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  @Easymutant
  ]Muda gani mbona hujataja !? mwezi mmoja miezi sita eeh! ?------>18 - 26 June, 2011 (ref :heading)
  next time soma vizuri or contact via 4N
   
 5. mkwatis

  mkwatis JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 336
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  @frozen;
  unakaribishwa!
   
 6. t

  twidikage Member

  #6
  May 30, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  payments zipoje ndugu
  :dance:
   
Loading...