Nafasi 3 za kazi AUMS mining Geita

Nafasi 3 za kazi AUMS mining Geita

NJOGHOMILE

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
694
Reaction score
1,943
Wanahitajia vijana waliosomea Account, Finance and Administration fresh from school ngazi ya Certificate, Diploma au Degree(yeyote kati ya hizi)

Kama wewe ni muhusika naomba namba yako PM au kama unamjua yeyote mwenye sifa nipe namba yake PM ili nimuunganishe na muhusika.

====================
Wakuu naomba kuwatahadharisha kuhusu hili tangazo.

Kuna mzee mmoja amepata namba yangu ya simu kwenye mtandao wa Linkedln, kwani kule nimeweka profile yangu halisi.

Sasa ameniomba nimtafutie hao vijana, amedai kuwa kuna nafasi za kazi zimetangazwa mgodini anapofanyia kazi.

Binafsi simjui na yeye hanijui, zaidi ya kuona profile yangu Linkedln. Nilimuhoji tu maswali machache kama vile sifa(kiwango cha elimu) na idadi ya nafasi, ndipo akaniambia kama nilivyobainisha hapo juu.

Kwa wale mlionipa namba zenu, namtumia huyo mzee yeye atawatafuta na mtaweza kuongea kwa undani zaidi.

Lakini kuweni makini, mkiona kiashiria cha utapeli naomba msiingie kingi ila msiache kumsikiliza atakapowapigia.
 
Tuombe Mungu iwe kweli na haki hapa. Kusiwe na namna yoyote shetani anataka kujiinua katika vijana wasio na ajira.

Mkuu kwanini usiwape vijana link wakajaribu bahati zao? Hii ya kuunganishana na muhusika kweli bado inafanyakazi kwa Geita Gold Mine? Kweli kabisa mkuu?
 
Kuna ndugu yangu anaishi Geita ni msomi (accountant) ashapambana sana kupata kazi mgodini na ashatangaza dau la kutosha lakini hajawahi fanikiwa.... So mkuu naomba usiwe unalengo baya kwa wadau... Tuwe makini
 
Good nimekutumia
 
Mi mwenyewe namashaka na huyu mdau maana matapeli wa migodini nshasikia habari zao, cha muhimu tuwe makini
 
Wanahitajia vijana waliosomea Account, Finance and Administration fresh from school ngazi ya Certificate, Diploma au Degree(yeyote kati ya hizi)

Kama wewe ni muhusika naomba namba yako PM au kama unamjua yeyote mwenye sifa nipe namba yake PM ili nimuunganishe na muhusika.
Acha utapeli, jina la hii taasisi mnatumia vibaya kutapeli watu kwa kigezo cha ajira kumbe hata hamuhusiki.

Bahati mbaya sana imefikia hatua mnatuma barua kwenye maofisi fulani mnaomba mpatiwe watu waliofanya field pale mkidai kuna kazi mnataka muwaunganishe, mkishaunganishwa nao mnaanza kuwatapeli. Huu ni utapeli na nawajua wahanga wa utapeli wenu.
 
Wakuu naomba kuwatahadharisha kuhusu hili tangazo.

Kuna mzee mmoja amepata namba yangu ya simu kwenye mtandao wa Linkedln, kwani kule nimeweka profile yangu halisi.

Sasa ameniomba nimtafutie hao vijana, amedai kuwa kuna nafasi za kazi zimetangazwa mgodini anapofanyia kazi.

Binafsi simjui na yeye hanijui, zaidi ya kuona profile yangu Linkedln. Nilimuhoji tu maswali machache kama vile sifa(kiwango cha elimu) na idadi ya nafasi, ndipo akaniambia kama nilivyobainisha hapo juu.

Kwa wale mlionipa namba zenu, namtumia huyo mzee yeye atawatafuta na mtaweza kuongea kwa undani zaidi.

Lakini kuweni makini, mkiona kiashiria cha utapeli naomba msiingie kingi ila msiache kumsikiliza atakapowapigia.
 
Wakuu naomba kuwatahadharisha kuhusu hili tangazo.

Kuna mzee mmoja amepata namba yangu ya simu kwenye mtandao wa Linkedln, kwani kule nimeweka profile yangu halisi.

Sasa ameniomba nimtafutie hao vijana, amedai kuwa kuna nafasi za kazi zimetangazwa mgodini anapofanyia kazi.

Binafsi simjui na yeye hanijui, zaidi ya kuona profile yangu Linkedln. Nilimuhoji tu maswali machache kama vile sifa(kiwango cha elimu) na idadi ya nafasi, ndipo akaniambia kama nilivyobainisha hapo juu.

Kwa wale mlionipa namba zenu, namtumia huyo mzee yeye atawatafuta na mtaweza kuongea kwa undani zaidi.

Lakini kuweni makini, mkiona kiashiria cha utapeli naomba msiingie kingi ila msiache kumsikiliza atakapowapigia.
Mkuu kazi za mgodini haziwezi kuwa rahisi kiivyo zinagombaniwa sana. Nmekwambia kuna ndugu yangu anaishi Geita ana vyeti vyake vya maana sana na ashatangaza mpunga wa maana sana kwa wadau apate kazi (shortcut) lakini bado hajawahi kufanikiwa.
 
Tapeli huyu..hao jamaa hutangaza nafasi zao kwenye mbao za matangazo mgodini GGM
 
Kuna ndugu yangu anaishi Geita ni msomi (accountant) ashapambana sana kupata kazi mgodini na ashatangaza dau la kutosha lakini hajawahi fanikiwa.... So mkuu naomba usiwe unalengo baya kwa wadau... Tuwe makini
mzee tapeli uyoo achana nae
 
Wanahitajia vijana waliosomea Account, Finance and Administration fresh from school ngazi ya Certificate, Diploma au Degree(yeyote kati ya hizi)

Kama wewe ni muhusika naomba namba yako PM au kama unamjua yeyote mwenye sifa nipe namba yake PM ili nimuunganishe na muhusika.

====================
Wakuu naomba kuwatahadharisha kuhusu hili tangazo.

Kuna mzee mmoja amepata namba yangu ya simu kwenye mtandao wa Linkedln, kwani kule nimeweka profile yangu halisi.

Sasa ameniomba nimtafutie hao vijana, amedai kuwa kuna nafasi za kazi zimetangazwa mgodini anapofanyia kazi.

Binafsi simjui na yeye hanijui, zaidi ya kuona profile yangu Linkedln. Nilimuhoji tu maswali machache kama vile sifa(kiwango cha elimu) na idadi ya nafasi, ndipo akaniambia kama nilivyobainisha hapo juu.

Kwa wale mlionipa namba zenu, namtumia huyo mzee yeye atawatafuta na mtaweza kuongea kwa undani zaidi.

Lakini kuweni makini, mkiona kiashiria cha utapeli naomba msiingie kingi ila msiache kumsikiliza atakapowapigia.
0759913421
 
Utapeli umeingia JF.... Hiki kitu sio kweli. Mnaibiwa

TAPELI.
 
Huyo ni tapeli mwenyewe mwaka Jana alinipigia simu kwa design hiyo hiyo ya kutafuta wahasibu ila nilivyomuunganisha na wale watu aliwaomba hela, ni mwizi huyo jmn tuwe makin
 
Amejitambulisha kwa jina la mzee Ernest, ni yeye?
 
Wanahitajia vijana waliosomea Account, Finance and Administration fresh from school ngazi ya Certificate, Diploma au Degree(yeyote kati ya hizi)

Kama wewe ni muhusika naomba namba yako PM au kama unamjua yeyote mwenye sifa nipe namba yake PM ili nimuunganishe na muhusika.

====================
Wakuu naomba kuwatahadharisha kuhusu hili tangazo.

Kuna mzee mmoja amepata namba yangu ya simu kwenye mtandao wa Linkedln, kwani kule nimeweka profile yangu halisi.

Sasa ameniomba nimtafutie hao vijana, amedai kuwa kuna nafasi za kazi zimetangazwa mgodini anapofanyia kazi.

Binafsi simjui na yeye hanijui, zaidi ya kuona profile yangu Linkedln. Nilimuhoji tu maswali machache kama vile sifa(kiwango cha elimu) na idadi ya nafasi, ndipo akaniambia kama nilivyobainisha hapo juu.

Kwa wale mlionipa namba zenu, namtumia huyo mzee yeye atawatafuta na mtaweza kuongea kwa undani zaidi.

Lakini kuweni makini, mkiona kiashiria cha utapeli naomba msiingie kingi ila msiache kumsikiliza atakapowapigia.
Hacha kabisa hii tabia ya utapeli GEITA GOLD MINING .
Wapo smart rather than you think wale majamaa hawawezi kufanya kitu kama hicho
 
Amejitambulisha kwa jina la mzee Ernest, ni yeye?
Huyu Mzee Ernest alinitumia ujumbe whatsapp miezi miwili iliyopita akajitambulisha hivyo na kwa kutaja mahali napatia mkate kuwa nimpe vijana waliofanya field za accounting hapo awaunge na kazi.

Nikajua ni tapeli tu kwa kuwa sijawahi fanya kazi na mtu mwenye jina hilo huko nyuma na pia kwa shughuli zetu hatupatagi watu wa kufanya field za accounting. Niakampotezea sasa kumbe ka network kake ni kakubwa.

Watu wawe makini na kudeal na watu wasiowajua.
 
Back
Top Bottom