NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,943
- Thread starter
- #21
Ni kweli mkuu, kabainika ni tapeli.Hacha kabisa hii tabia ya utapeli GEITA GOLD MINING .
Wapo smart rather than you think wale majamaa hawawezi kufanya kitu kama hicho
Kuna baadhi ya watu walinipa namba na niliwasihi waongee naye endapo wakipigiwa ili wabaini nia yake.
Alipompigia mtu wa kwanza akamuomba hela ya vocha, hakupewa, baadae akajakumuomba hela ya fomu.
Hadi hapo alipotezewa moja kwa moja.