Nafasi 2 za Kazi Future Group Company..

Nafasi 2 za Kazi Future Group Company..

Habari yako, Samahani kwa Usumbufu. Kwa kuwa walioomba kufika kwenye Usahili wa Kesho ni wengi. Hivyo basi kesho tutaanza na wachache, Wewe tunaomba tutakujulisha Siku nyengine ya Usahili. Kwa sasa tutumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com From: Future Group Company HR. Asante
Mko mkoa gani?
 
nimeenda hawana jipya yale yale ya forever bt nilipoogopa eti unatakiwa udeposit laki moja ili waweze kukupa mzigo halafu kila mtu kwenye intervew amepata kazi ila usiwaambie wenzako nje
Looooh!!
 
yap though nilienda kuzuga tu bt kuna vijana wataumia ila nimewajulisha kama 20 niliochukua namba zao
Mkuu ulienda kwenye ofisi gani wew?
Mimi nilienda but nilichelewa kufika, nilifika kama saa 10:38am hivi nikaingia mpaka kiwandani/ofisini.
Tumeenda na jamaa yangu mpaka production areas ya hizo products zao (aluminium and decorations)
Ni kampuni ya kichina hatukufanyiwa interview but tulikuta waliotutangulia wamefanya interview kama watu wa 4 hivi. Na kati ya hao wanne wachina wali pick two of them as salesmen.
Sasa sijaelewa unaposema matapeli.
N.B hatukufanyiwa interview simply because kati ya wale wa 4 waliwahi na kufanya hiyo interview wachina waliona wanafaa then after sisi tukaambiwa tuache CV ikitokea any chance we will be considered first.
HAKUNA UTAPELI WOWOTE labda kama ulipotea njia.
 
matapeli hawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeenda
Mkuu nadhani utakuwa umefananisha Jina la Kampuni yetu na Makampuni mengine. Shughuli zetu hazifanani na Forever Living. Kampuni yetu ya Future Group of Company inamiliki kiwanda cha Alumium. Hivyo ni wauzaji wakubwa wa Bidhaa za Aluminium Nchini. Watengenezaji wa Glass Curtain Walls, Balustrade, Aluminum Doors and Windows.

Karibu Tukuhudumie.
 
Mkuu ulienda kwenye ofisi gani wew?
Mimi nilienda but nilichelewa kufika, nilifika kama saa 10:38am hivi nikaingia mpaka kiwandani/ofisini.
Tumeenda na jamaa yangu mpaka production areas ya hizo products zao (aluminium and decorations)
Ni kampuni ya kichina hatukufanyiwa interview but tulikuta waliotutangulia wamefanya interview kama watu wa 4 hivi. Na kati ya hao wanne wachina wali pick two of them as salesmen.
Sasa sijaelewa unaposema matapeli.
N.B hatukufanyiwa interview simply because kati ya wale wa 4 waliwahi na kufanya hiyo interview wachina waliona wanafaa then after sisi tukaambiwa tuache CV ikitokea any chance we will be considered first.
HAKUNA UTAPELI WOWOTE labda kama ulipotea njia.
Mkuu Nadhani Mtoa Mada hapo Juu atakuwa amefananisha Jina la Kampuni yetu na Makampuni mengine. Shughuli zetu hazifanani na Forever Living kama alivyosema katika Moja ya Michango yake kwenye uzi huu.

Kampuni yetu ya Future Group of Company inamiliki kiwanda cha Alumium kilichopo mbezi beach Dar es salaam. Hivyo ni wauzaji wakubwa wa Bidhaa za Aluminium Nchini. Watengenezaji wa Glass Curtain Walls, Balustrade, Aluminum Doors and Windows.

Karibuni Tuwahudumie.
 
Back
Top Bottom