Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Mnasema forever inasaidia maskini na kujiajir?mm cjaona kama inasaidia sanasana nimeona wezi tena wez zaid ya matapeli posta maan. Forever wanakkuibia huku wanakupuliza usisikie maumivu mxiuuuu yaan ctak kuickia. Forever!bora nikafngue duka lakn sio forever embu fikirien maskin anapata wap 750000 kujiunga?eti ndo mnakuja na neno mnasadia wasio na vipato mnasaidia kivip sasa?
Mkuu hiyo ni laki saba na nusuuuu au sabini na tano elfuuuu???