Nafasi 10 za kujiajiri

Nafasi 10 za kujiajiri

teamsuccess

Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Kutokana na kauri ya waziri wa ajira aliyotolewa hivi karibuni pale bungeni yakuwahamisisha vijana wanaomaliza vyuo na wengine kufikiria zaidi kujiajiri kuliko kuajiriwa kwana nafasi za kazi bado ni chache sana ukilinganisha na idadi ya waombaji, pia aliweza kumsifia mwanamziki fulani wa bongo flava ambae ameamua kujiajiri kwenye mziki mbali na elimu yake aliyo nayo ya chuo kikuu.

Kwa mtazamo wangu tatizo la ajira litaendelea kuwa kubwa kadri miaka inavyozidi kwenda na ukuangalia hali halisi ya sasa kazi zinatangazwa anaitajika mtu mmoja lakini wanaitwa watu 70 kwenye usaili hii ratio bado nashindwa kuielewa kabisa sehemu nyingine wanatangaza kwa walioomba nafasi fulani na wanaona wametimiza vigezo tulivyo viitaji basi wafike kwenye usaili sasa hii ni nini?

Kwa mawazo yangu nadhani muheshimiwa waziri alikuwa sahihi kwa upande mmoja kuwa vijana wa sasa wanaomaliza elimu na hata wengine wanotafuta maisha bora wafikilie zaidi kujiajiri kuliko kuajiriwa, hii inanikumbusha kitabu kimoja kinaitwa "Poor dady rich dady" cha Robert Kiyosaki, ndio hali halisi ya sasa kwenye soko la ajira.

Nikaamua kuongea na rafiki yangu mmoja ambe akasema anatoa nafasi 10 tu ndani ya mwezi huu kwa yoyote atakaependa kujiajiri kupitia kampuni ya Forever Living Products ambayo kwa ukweli watu wake wanatengeneza sana pesa hadi wengine wanaacha kazi zao ambazo vijana wengi wanazitafuta wao wanaresign.Sasa nikaona ni share na wadau humu ndani kwa anaependa kupata nafasi hii huwezi jua inaweza ndio ikawa njia yako ya mafanikio kwani mtaji wao ni mdogo sana kuliko biashara nyingine na pia unafundishwa jinsi yakufanya hii biashara.Kwa yeyote atakaependa kuachana na hii shida ya ajira awasiliane na huyu muhusika kwa email:aleobarbandesisflp@yahoo.com au simu 0769530240 piga, tuma meseji au whatsup.
 
this is stupid,hii forever living si ndo tunaipiga marufuku hu u jamvini?
 
Huyo muhusika ni wewe mwenyewe kwa nini usiwe muwazi unataka kutengeneza network
 
mtoa mada -------- sana, umeanza vizuri ukamalizia na upuuzi wa forever living
 
forever living...acha kupoteza muda wewe...nan amemake mane? atutaki hadithi akatuonyeshe mkono kwa mkono na atuletee bank statement yake hapa
 
robert-kiyosaki-network-marketing-cashflow-quadrant.jpg View attachment 163053
Lengo la teamsuccess nikuwasaidia watu mbalimbali kupata nafasi yakujiari, sasa inashangaza kuona mtu anasema Forever living imepigwa marufuku ni kwa mujibu wa nani na sheria ipi? Jamani katika picha ya kwanza hizo ndio njia kuu nne zakutengeneza kipato duniani kote.Teamsuccess inajaribu kutafuta nafasi mbalimbali zinazopatika hapa nchini hasa kwenye nafasi ya Business owners.Tutaendelea kuwafahamisha wale wanaotaka kujiari nafasi tutakazo pata sehemu mbalimbali.

Kwa aliyeomba picha ya check hii ndio tuliyoletewa na niya mwaka huu na ni watanzania mwenye degree ya computer science na mama pale doctor, hongereni na mafanikio yanakuja kwa wanaotafuta kwa nguvu na kihalali, kwa wale wanopenda kulalamika kila nafasi za ajira zikitoka pia kia la heri kwani si lazima watanzania wote wafanikie sana.

Hongereni sana kwa mlioitikia wito nakuonyesha nia yakutaka kujiajiri, bigup stand for your dreams and not others dreams.
 
View attachment 163049View attachment 163053

ahsante sana Bro!
 
Tatizo la vjana hapa Jf ni kutaka kutoa matus ili kuonekana ana chochote anachofkria zaid ya kilichotolewa hapo na mwenzie na akikaa peke yake anaanza kufkiria kuwa kumbe na hiyo inanifaa?
 
Hawa jamaa bwana, wanakuita kwa hotel kali sana,kwa seminar zao lakini hawatoi hata maji Yale ya 300, halafu wanadai wanamake millions, sikatai ya kuwa mnamake millions but at least show us that u make em'' by the way umeanza poa sana but kuishia na forever ndo umenichefua, bora hata ungesema network ya mazao huko mashambani
 
Mod embu fungia huu uzi !! Hatutaki habari ya forever kabisa
 
Hawa foreve living,ni w2 wa ajabu sana.mimi nimisha hudhuria semina zenu na nina clip nyingi zenu nyng za w2 waliofanikiwa.
Hv mm kama nina laki 350 ya kununua bidhaa zenu kwa nini nisiwe mchuzi ninunue v2 pale k'koo na niviuze mwenyewe au nifungue banda la mboga mboga.
Ni wazi tunajua kuwa duniani kila k2 ni opportunity na w2 hutumia shida za w2 kama mitaji na mafanikio kwao.
HV kwa nini msifungue hata supermkt kubwa mkauza products zenu pekee na bado mtaajiri watu na mtakuwa mume saidia w2 pia kuliko hi njia mnayo tumia coz huwa mnasema coy yenu mnamtaji mkubwa
 
tulishasema kuwa hizo habari za forever loving. hatuzitaki humu.......zipelekeni huko huko......
 
Hahaha mleta uzi anatafuta watu wa kuunga chain ya forever living
 
teamsuccess,

are you not stupid?

cant you see everybody here is groaning against your advert?

hebu ona aibu... Your org. is exploitative and oppressive.
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na kauri ya waziri wa ajira aliyotolewa hivi karibuni pale bungeni yakuwahamisisha vijana wanaomaliza vyuo na wengine kufikiria zaidi kujiajiri kuliko kuajiriwa kwana nafasi za kazi bado ni chache sana ukilinganisha na idadi ya waombaji, pia aliweza kumsifia mwanamziki fulani wa bongo flava ambae ameamua kujiajiri kwenye mziki mbali na elimu yake aliyo nayo ya chuo kikuu.

Kwa mtazamo wangu tatizo la ajira litaendelea kuwa kubwa kadri miaka inavyozidi kwenda na ukuangalia hali halisi ya sasa kazi zinatangazwa anaitajika mtu mmoja lakini wanaitwa watu 70 kwenye usaili hii ratio bado nashindwa kuielewa kabisa sehemu nyingine wanatangaza kwa walioomba nafasi fulani na wanaona wametimiza vigezo tulivyo viitaji basi wafike kwenye usaili sasa hii ni nini?

Kwa mawazo yangu nadhani muheshimiwa waziri alikuwa sahihi kwa upande mmoja kuwa vijana wa sasa wanaomaliza elimu na hata wengine wanotafuta maisha bora wafikilie zaidi kujiajiri kuliko kuajiriwa, hii inanikumbusha kitabu kimoja kinaitwa "Poor dady rich dady" cha Robert Kiyosaki, ndio hali halisi ya sasa kwenye soko la ajira.

Nikaamua kuongea na rafiki yangu mmoja ambe akasema anatoa nafasi 10 tu ndani ya mwezi huu kwa yoyote atakaependa kujiajiri kupitia kampuni ya Forever Living Products ambayo kwa ukweli watu wake wanatengeneza sana pesa hadi wengine wanaacha kazi zao ambazo vijana wengi wanazitafuta wao wanaresign.Sasa nikaona ni share na wadau humu ndani kwa anaependa kupata nafasi hii huwezi jua inaweza ndio ikawa njia yako ya mafanikio kwani mtaji wao ni mdogo sana kuliko biashara nyingine na pia unafundishwa jinsi yakufanya hii biashara.Kwa yeyote atakaependa kuachana na hii shida ya ajira awasiliane na huyu muhusika kwa email:aleobarbandesisflp@yahoo.com au simu 0769530240 piga, tuma meseji au whatsup.

Sina hamu na hii kampun kabisaaa,niliambiwa lakin nikasema ngoja nijaribu but kilichonikuta forever siitaman na naichukia hakunaa mfano yaan n wez watupu hakuna cha kutajirika wala nn yan nilijikuta nmepotez a lot of money yan. Najuta
 
View attachment 163049View attachment 163053
Lengo la teamsuccess nikuwasaidia watu mbalimbali kupata nafasi yakujiari, sasa inashangaza kuona mtu anasema Forever living imepigwa marufuku ni kwa mujibu wa nani na sheria ipi? Jamani katika picha ya kwanza hizo ndio njia kuu nne zakutengeneza kipato duniani kote.Teamsuccess inajaribu kutafuta nafasi mbalimbali zinazopatika hapa nchini hasa kwenye nafasi ya Business owners.Tutaendelea kuwafahamisha wale wanaotaka kujiari nafasi tutakazo pata sehemu mbalimbali.

Kwa aliyeomba picha ya check hii ndio tuliyoletewa na niya mwaka huu na ni watanzania mwenye degree ya computer science na mama pale doctor, hongereni na mafanikio yanakuja kwa wanaotafuta kwa nguvu na kihalali, kwa wale wanopenda kulalamika kila nafasi za ajira zikitoka pia kia la heri kwani si lazima watanzania wote wafanikie sana.

Hongereni sana kwa mlioitikia wito nakuonyesha nia yakutaka kujiajiri, bigup stand for your dreams and not others dreams.

Mnasema forever inasaidia maskini na kujiajir?mm cjaona kama inasaidia sanasana nimeona wezi tena wez zaid ya matapeli posta maan. Forever wanakkuibia huku wanakupuliza usisikie maumivu mxiuuuu yaan ctak kuickia. Forever!bora nikafngue duka lakn sio forever embu fikirien maskin anapata wap 750000 kujiunga?eti ndo mnakuja na neno mnasadia wasio na vipato mnasaidia kivip sasa?
 
Ninao wafahamu ambao wana deal ba forever living na walinishauri hata mimi,hakuna hata mmoja alietajirika. Sanasana wengi nimeona wanejitoa!
 
Tena wana njaa hatar unakuta hata hela ya maji hana mm mwenyew n mhanga na. Sishaur mtu akajiunge na huo wizi ila kama hela zitakua hazina kazi basi mtu. Akijiunga akubali tu kutoa sadaka!kuingia forever. N. Sawasawa na kujichimbia kaburi
 
Back
Top Bottom