Habari wana jamii, Mimi nilichaguliwa ktk chuo fulani mwaka Jana but sikuwai kuripoti chuo maisha yakaendelea but now naambiwa jina langu lipo TCU so ctachaguliwa mwaka huu adi nitapofuta hiyo admission. Je ni kweli sitochaguliwa au nifanyaje? Msaada please