Aaahhh asante mkuu, natumia window 10.Jaribu kuhakikisha una latest netframe work ama tafuta hiyo compiler yawezekana ina miss.
Kufanya re-installation haitasaidia kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia ungesema windows yako ni ipi ingesaidia sana
Hilo ni tatizo la directX ambayo hiyo compiler huwa ni optional lakini hutumika sana na magemu mengi.Jana wakati natafuta tafuta games kwenye PC nikakutana na uzi wa the great wizard, kushusha games kupitia oceanic games.
Nikaingia nikashusha games kadhaa ikiwemo Assasin creed.
Ila sasa baada ya installation inaniandikia hivi kila nikiifungua.
Niifanyeje ili iweze ku play au kama kuna site nyingine rahisi nipate games za Call of duty na Assasin Creed.
Natumia windows 10
Cc Chief-Mkwawa, the great wizard, etal.View attachment 1014835View attachment 1014836
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia hapa mkuu, eka direct x moja kwa moja sababu ukidownload .dll moja kwa moja ukifix hio inakuja error nyengine.Hilo ni tatizo la directX ambayo hiyo compiler huwa ni optional lakini hutumika sana na magemu mengi.
Solution ni ku-download directx yenye future zote, link ni hii hapa chini.
Download DirectX End-User Runtimes (June 2010) from Official Microsoft Download Center
Mkuu hii directX nimeipata ila katika installation kwenye directory sijui inakaa folder gani maana nimejaribu ku iplace baadhi ya sehemu inagoma.Hilo ni tatizo la directX ambayo hiyo compiler huwa ni optional lakini hutumika sana na magemu mengi.
Solution ni ku-download directx yenye future zote, link ni hii hapa chini.
Download DirectX End-User Runtimes (June 2010) from Official Microsoft Download Center
Kwenye program files inagoma?Mkuu hii directX nimeipata ila katika installation kwenye directory sijui inakaa folder gani maana nimejaribu ku iplace baadhi ya sehemu inagoma.
Kama unavyoona hapo chini.View attachment 1015175View attachment 1015176
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah imegoma mkuu sielewi kwa nini au ni aina ya window hai support maana natumia windows 10.Kwenye program files inagoma?
create folder then i browse iyo new folder extractia hapoMkuu hii directX nimeipata ila katika installation kwenye directory sijui inakaa folder gani maana nimejaribu ku iplace baadhi ya sehemu inagoma.
Kama unavyoona hapo chini.View attachment 1015175View attachment 1015176
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kutengeneza new folder na ulichague wakati wa installationYeah imegoma mkuu sielewi kwa nini au ni aina ya window hai support maana natumia windows 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
create a new folder then i browse iyo new folder then piga ok ita xtract vizuriMkuu hii directX nimeipata ila katika installation kwenye directory sijui inakaa folder gani maana nimejaribu ku iplace baadhi ya sehemu inagoma.
Kama unavyoona hapo chini.View attachment 1015175View attachment 1015176
Sent using Jamii Forums mobile app
Au kuepusha hayo matatizo download full direct x na sio part fulani, maana utaweka game jengine na tatizo jengine linalofanania na hilo litakuja.Mkuu hii directX nimeipata ila katika installation kwenye directory sijui inakaa folder gani maana nimejaribu ku iplace baadhi ya sehemu inagoma.
Kama unavyoona hapo chini.View attachment 1015175View attachment 1015176
Sent using Jamii Forums mobile app
Naipata vp mkuu Chief, kama una link ya kuipata nisaidie nimalizane nayo kabisa hii kitu.Au kuepusha hayo matatizo download full direct x na sio part fulani, maana utaweka game jengine na tatizo jengine linalofanania na hilo litakuja.
DirectX 11 Free DownloadNaipata vp mkuu Chief, kama una link ya kuipata nisaidie nimalizane nayo kabisa hii kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app