sasa kumbe shida yako hutaki mi niwafanyie application kisa ntapata hela halafu wao wana ndugu zao watawafanyia bure!!!wajinga hawaishi, ndio maana umewapiga hela zao! kwa hiyo usingekuwepo wewe hawa watoto wasingeapply?
Mkuu mi nadhani ndiye mtu wa kwanza kutoka JF niliyekupa mteja na sikupata malalmiko yeyote yale, naona kijana amekushikilia kwenye huu uzi
kweli biashara matangazohuyu mpuuzi sijui hajala mchana, yaani watu wote niliowafanyia application wasilalamike aje alalamike yeye ambaye hata simjui na wala sijawahi kumfanyia application, naona anatafuta mtu wa kumfia
karibu ulete kazi mkuukweli biashara matangazo
mkuu vipi UDOM NA MZUMBE wameshatoa majina??Kwa wale wanafunzi mliojaribu kufanya application kwenda vyuo vikuu kwa awamu ya kwanza na pili na ukakosa basi fahamu kuwa kuna kitu unakosea.
habari njema ni kwamba TCu wametoa nafasi kwaajili ya kufanya application ya kwenda vyuoni kwa mara ya tatu na mimi binafsi hiyo kazi nimeshaifanya kwa awamu zote mbili kwa mafanikio makubwa(wanafunzi 35 washapata vyuo awamu zote mbili )
kama utapenda nikufanyie application tafadhali piga nambari 0789805698, maana awamu hii ndiyo ya mwisho ukileta mchezo tena hapa kujifanya unajua kuapply ujue utaangukia pabaya, wahi sasa.
samahani mkuu kama hutajali
kati ya wote uliowasaidia ku-apply vyuo ni wangapi wamepata na wangapi wamekosa !?
kuna dogo alidisco chuo hiv utaratibu wa kuomba ukoje maana kakosa raund zote mbil85% wamepata round ya kwanza na ya pili, waliokosa ni kutokana na ubishi wao wa kung'ang'ania kozi zilizojaa na vyuo vyenye cutthroat competition kama UDSM wakati ufaulu wao ni wa kawaida( 2 au 3 za mwisho)
udom tayari ingia kwenye akaunti yakomkuu vipi UDOM NA MZUMBE wameshatoa majina??
Wacha njaa za kijinga hicho kitu cha dk kadhaa tu,sisi miaka yote tunawasaidia madogo....wewe unaleta unyonyaji.saidia wana waende chuo.Kwa wale wanafunzi mliojaribu kufanya application kwenda vyuo vikuu kwa awamu ya kwanza na pili na ukakosa basi fahamu kuwa kuna kitu unakosea.
habari njema ni kwamba TCu wametoa nafasi kwaajili ya kufanya application ya kwenda vyuoni kwa mara ya tatu na mimi binafsi hiyo kazi nimeshaifanya kwa awamu zote mbili kwa mafanikio makubwa(wanafunzi 35 washapata vyuo awamu zote mbili )
kama utapenda nikufanyie application tafadhali piga nambari 0789805698, maana awamu hii ndiyo ya mwisho ukileta mchezo tena hapa kujifanya unajua kuapply ujue utaangukia pabaya, wahi sasa.
we mpuuzi , kwahiyo wewe ni nani mpaka mimi nifuate maagizo yako?Wacha njaa za kijinga hicho kitu cha dk kadhaa tu,sisi miaka yote tunawasaidia madogo....wewe unaleta unyonyaji.saidia wana waende chuo.
Mkuu mbona unatoka povu hata ushauri wa kawaida tu "saidia wadogo wakaelimike hawatakusahau" mi nimewasaidia 5 bure na wote wamepata ila kimyakimya tuwe mpuuzi , kwahiyo wewe ni nani mpaka mimi nifuate maagizo yako?
Hivi "utapeli" utaisha lini??? Yaaani mtu kasoma hadi form six bado akosee mara mbili kujaza chuo na bado atafute 'msaada' ?? Ni ajabu sana ...ila acha waibiwe ndo wataamka[emoji41] [emoji41] [emoji41]Kwa wale wanafunzi mliojaribu kufanya application kwenda vyuo vikuu kwa awamu ya kwanza na pili na ukakosa basi fahamu kuwa kuna kitu unakosea.
habari njema ni kwamba TCu wametoa nafasi kwaajili ya kufanya application ya kwenda vyuoni kwa mara ya tatu na mimi binafsi hiyo kazi nimeshaifanya kwa awamu zote mbili kwa mafanikio makubwa(wanafunzi 35 washapata vyuo awamu zote mbili )
kama utapenda nikufanyie application tafadhali piga nambari 0789805698, maana awamu hii ndiyo ya mwisho ukileta mchezo tena hapa kujifanya unajua kuapply ujue utaangukia pabaya, wahi sasa.
Ubarikiwe kwa msaada wako!!Wewe ni Tapeli tu kama Matapeli wengine!
ONLINE APPLICATION SYSTEM (OAS) za vyuo vyote wameeka namba za simu za kuomba msaada incase Mwanafunzi amekwama ktk online process, na vyuo vingi vinafanana application interface, na zote ni USER FRIENDLY mf AOS za ISW, WI, MUST, NIT na MUHIMBILI Univ - hao ote wanatumia SIMS!
MADINI na CBE wao wanatumia SARIS! Hakuna namna yoyote wewe ya kuwaibia watoto watu vijihela vyao! Wewe kuwasaidia kuapply na kuwaibia sio sababu ya wao kupata ADMISSIO!
Hizi hapa ONLINE Support za baadhi ya Vyuo:
WATER INSTITUTE
0717210880 & 0742990140
UDSM:
Technical Support
+255 716 21 6308
+255 623 668950
+255 76 553 7512
support@udsm.ac.tz
Payment Issues
malipo@admission.ac.tz
NIT
IT Support:
0754283703.
Admissions office at 0752413123, 0762202215, 0782422199
Ndio maana nikasema, wajinga ndio waliwao! So endelea kuwatapeli watoto wa watu!
naam hakika niliosaidia wataleta majibu... kama wataniruhusu nileta screeenshots zao..Hivi "utapeli" utaisha lini??? Yaaani mtu kasoma hadi form six bado akosee mara mbili kujaza chuo na bado atafute 'msaada' ?? Ni ajabu sana ...ila acha waibiwe ndo wataamka[emoji41] [emoji41] [emoji41]