Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

Kibaha college of health and allied science
Hizi technical colleges subiri mkuu watoe majibu wataposti kwenye wepsite ya nacte. na kutakuwa na option ya kujua chuo ndugu yako alichopangiwa. Nadhani bado wanaendelea na mchakato.
 
Dah hapo nahofia asije kukosa tu nafasi maana nacte wako kimya na hata wenyewe kama chuo wapo kimy pia
 
Yan madogo wamepanick kukosa vyuo kwa batch zote 2 ila mimi naimani msaada wa bure ndo mzuri kwa sasa maana wamepoteza pesa tayari
 
HIVI wewe mpuuzi unafikiri watu hawajui kufanya application?

watu wengi wanajua sana tuu ila wanakosa muda wa kufanya hizi kazi, naona unajitahidi sana kunichafua ila nikujibu jibu moja tuu.
 
halafu kingine usifikiri kila mtu ana accesories kama computer na vifaa vingine, kupitia JF kuna watu wapo vijijini nimewafanyia APPLICATION maana wamekuwa reffered kwangu na watu waliosoma hii post cha ajabu we mpumbavu unakuja kuropoka hapa...

Usifikiri waliopo kimya hawajaona au hawajui, la hasha wengi wanajua kwa maana ukimfanyia mtu application (ambaye hana muda) unaweza kumtumia screen shots za application uliyofanya, nadhani bwana frank atakuwa shahidi kutoka hukuhuku JF.
 
HIVI wewe mpuuzi unafikiri watu hawajui kufanya application?
watu wengi wanajua sana tuu ila wanakosa muda wa kufanya hizi kazi, naona unajitahidi sana kunichafua ila nikujibu jibu moja tuu.

Nashukuru kwa kutukana!
Hakuna mwanafunzi anaetaka kuapply Chuo afu eti ".....wanakosa muda wa kufanya hizi kazi...." Ndio nimekuambia WAJINGA NDIO WALI WAO! Endelea kuwaibia!
 
we ni mpumbavu.

maana unabishana na mimininayefanya hizi kazi.

Hivi unajua kuwa kuna wanafunzi wapo jeshini hadi hivi sasa au unaropoka tuu ?
 
Mkuu huna Matusi mapya? Nimekuambia utaendelea kuwapata WAJINGA! Wajinga ndio waliwao!
 
we ni mpumbavu.
maana unabishana na mimininayefanya hizi kazi.
Hivi unajua kuwa kuna wanafunzi wapo jeshini hadi hivi sasa au unaropoka tuu ?
huna tusi jipya Mkuu?
 
Nashukuru kwa kutukana!
Hakuna mwanafunzi anaetaka kuapply Chuo afu eti ".....wanakosa muda wa kufanya hizi kazi...." Ndio nimekuambia WAJINGA NDIO WALI WAO! Endelea kuwaibia!

ngoja nikuelimishe we mpuuzi kuna wanafunzi wapo jeshini, kuna wanafunzi wapo kwenye remote places hawawezi kufanya application hivyo lazima wahitaji mtu kuwafanyia application.

Najua akili yako ya kuku inakwambia kuwa kila aliyemaliza form 6 yupo mjini na ana computer au smartphone ya kumuwezesha kufanya application mwenyewe.
 
we ni mpumbavu.
maana unabishana na mimininayefanya hizi kazi.
Hivi unajua kuwa kuna wanafunzi wapo jeshini hadi hivi sasa au unaropoka tuu ?

Wengi tu wamefanyiwa application na ndugu zao, na baadhi jamaa zao.... tena bureeeee kabisaa! Ila kwa kuwa wewe una njaa, endelea kuwaibia! Wajinga ndio waliwao!
 
kwahiyo hao ambao nimewafanyia application mimi huwa hawana ndugu au!!!
 
wajinga hawaishi, ndio maana umewapiga hela zao! kwa hiyo usingekuwepo wewe hawa watoto wasingeapply?
 
Mkuu mi nadhani ndiye mtu wa kwanza kutoka JF niliyekupa mteja na sikupata malalmiko yeyote yale, naona kijana amekushikilia kwenye huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…