WAJINGA NDIO WALIWAO
tafutia watu bana makusudi.Tapeli la CCM!
soma tena utaelewa mkuukivp
kama huelewi tulia.kwamba ww ndo unapita ya mkato au??? sio ili mlad upate chuo ila unacho kisoma unakitaka. au unafanyia tcu????? . online application special 4 u???? ndo mana nimekuuliza kivp???
Wewe ni Tapeli tu kama Matapeli wengine!kabla kucomment rudi kwenye post yangu iliyopita uone nimefanyia watu wangapi application kutoka hapahap JF.
Mie nmesha apply kwa dogo but kila nikiingia nacte kwenye ile sehemu ya kulog in kuangalia kama kachaguliwa au la siioni,msaada pleaseWewe ni Tapeli tu kama Matapeli wengine!
ONLINE APPLICATION SYSTEM (OAS) za vyuo vyote wameeka namba za simu za kuomba msaada incase Mwanafunzi amekwama ktk online process, na vyuo vingi vinafanana application interface, na zote ni USER FRIENDLY mf AOS za ISW, WI, MUST, NIT na MUHIMBILI Univ - hao ote wanatumia SIMS!
MADINI na CBE wao wanatumia SARIS! Hakuna namna yoyote wewe ya kuwaibia watoto watu vijihela vyao! Wewe kuwasaidia kuapply na kuwaibia sio sababu ya wao kupata ADMISSIO!
Hizi hapa ONLINE Support za baadhi ya Vyuo:
WATER INSTITUTE
0717210880 & 0742990140
UDSM:
Technical Support
+255 716 21 6308
+255 623 668950
+255 76 553 7512
support@udsm.ac.tz
Payment Issues
malipo@admission.ac.tz
NIT
IT Support:
0754283703.
Admissions office at 0752413123, 0762202215, 0782422199
Ndio maana nikasema, wajinga ndio waliwao! So endelea kuwatapeli watoto wa watu!
Chuo gani Mkuu? Kama ni diploma issue ni yeye na chuo, aulize chuo chake km majina yashapelkwa NACTE! kama ni degree, TCU wanahusika, TCU wanapokea applicants kutoka vyuo, then vyuo vinasubiria approval kutoka TCU, mf kwa sasa 3rd round appln inaendelea !Mie nmesha apply kwa dogo but kila nikiingia nacte kwenye ile sehemu ya kulog in kuangalia kama kachaguliwa au la siioni,msaada please
Yeye nmemuombea certificate ya medicine pale kibaha college of health and allied scienceChuo gani Mkuu? Kama ni diploma issue ni yeye na chuo, aulize chuo chake km majina yashapelkwa NACTE! kama ni degree, TCU wanahusika, TCU wanapokea applicants kutoka vyuo, then vyuo vinasubiria approval kutoka TCU, mf kwa sasa 3rd round appln inaendelea !
applicants
Mkuu nimefungua site ya chuo but ukiifungua tu inakudirect moja kwa moja kwenye severs za nacte na siyo wao kama waoUkiingia nacte huwezi kuona kitu, cha msingi nenda kwenye vyuo husika ujaribu kuangalia tumia username na password zako ulizotumia wakati unaomba chuo. Mimi nimefanikiwa kwa hili.
Mfano chuo gani?Mkuu nimefungua site ya chuo but ukiifungua tu inakudirect moja kwa moja kwenye severs za nacte na siyo wao kama wao
Kibaha college of health and allied scienceMfano chuo gani?