kweli shem,ila nahofia utaweza kugonganisha magari ikawa taabu tupu.
Huna lolote weye... Siku zote hujaenda kupromotr band Singida, saiv umesikia Evelyn Salt kahamia Singida ndo unajianzishia route za huko mmmmhhhhhhhh.......
Ngastuka!!!!!!!!!
Huna lolote weye... Siku zote hujaenda kupromotr band Singida, saiv umesikia Evelyn Salt kahamia Singida ndo unajianzishia route za huko mmmmhhhhhhhh.......
Ngastuka!!!!!!!!!
Preta ngoja nikuitie nkyalomkonza na Jaluo_Nyeupe waje kusemezana nawe kabla hujalikoroga huko ukweni.Hivi itakuwa ni mbaya kutaja Msondo Ngoma.....? Hebu niambie kwa sababu huko ni ukweni nisije kulikoroga......
Thubutuuu.....!
hahahah Ben Saanane nini hicho au ndo wivu??? wahenga wasema kizuri kula na,.................?Thubutuuu.....!
Slave,hahahah Ben Saanane nini hicho au ndo wivu??? wahenga wasema kizuri kula na,.................?