BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
Aise niulizie na vyuo na gharama zao pamoja na miezi ya admissionWakuu,
Naenda Kampala na nitakaa pale kwa wiki moja. Kubwa ni kwenda kufanya utalii wa kibiashara, kuona wao wanauza vitu gani kwa bei ndogo na wao wananunua vitu gani kwa bei kubwa ili nione kama naweza kufanya nao biashara. Hasa hasa nataka kujua watu wa Uganda wananunua nini kutoka Tanzania ili niwapelekee.
Kama muda wangu utaruhusu basi nitaenda mpaka Sudan kusini, nasikia huko biashara ya chakula ipo vizuri. Nitawapa mrejesho nikirudi.
Ni bus gani nzuri na wana huduma nzuri kutoka Dar kwenda Kampala?
Asanteni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Kabalaghala ndio wapi mkuu?Usisahau kupatembelea Kabalaghala mkuu, kwa usafiri wa basi mimi niliondokea Isebania mpka kericho, nikapanda kisii Express mpka kisumu, nikapanda tena stage coach mpka Malaba border
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu ndani niliona kuna mdau kaandika kuwa Taqwa yamechoka, we unaonaje,m
Wakati mwingine mtu anapouliza mambo ya msingi muwe serious...Usisahau kupatembelea Kabalaghala mkuu, kwa usafiri wa basi mimi niliondokea Isebania mpka kericho, nikapanda kisii Express mpka kisumu, nikapanda tena stage coach mpka Malaba border
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshawahi kufika Juba mkuu? Kuna fursa gani huko na vipi hali ya usalama. Asante sana kwa ushauri na kwa wote mlioshauri asanteni sanaDar to Kampala via Bukoba panda Friends iko poa mkuu utatumia siku mbili kufika pia Friends ina route za kwenda huko Juba.