Naenda Kampala - Uganda, naombeni ushauri

Naenda Kampala - Uganda, naombeni ushauri

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Wakuu,

Naenda Kampala na nitakaa pale kwa wiki moja. Kubwa ni kwenda kufanya utalii wa kibiashara, kuona wao wanauza vitu gani kwa bei ndogo na wao wananunua vitu gani kwa bei kubwa ili nione kama naweza kufanya nao biashara. Hasa hasa nataka kujua watu wa Uganda wananunua nini kutoka Tanzania ili niwapelekee.

Kama muda wangu utaruhusu basi nitaenda mpaka Sudan kusini, nasikia huko biashara ya chakula ipo vizuri. Nitawapa mrejesho nikirudi.

Ni bus gani nzuri na wana huduma nzuri kutoka Dar kwenda Kampala?

Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise niulizie na vyuo na gharama zao pamoja na miezi ya admission

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kupatembelea Kabalaghala mkuu, kwa usafiri wa basi mimi niliondokea Isebania mpka kericho, nikapanda kisii Express mpka kisumu, nikapanda tena stage coach mpka Malaba border

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda tuu Sudan Kusini ukawe baba ntilie.
 
Friends bus ni zuri sana
IMG_20190117_124516.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar to Bukoba utafika saa 7 mchana na kutoka bukoba mpaka Kampala itakuchukua masaa 5 au panda Friends Dar to Kampala via Bukoba ndio lahisi zaidi biashara za kutoa kule ni nguo na urembo kwa Mimi niliepo hapa Bukoba wengi wanapeleka sana Kahawa,Mabondo,Vanila na Chakula Mahindi,Mchele ndio vinalipa sana
 
Dar to Kampala via Bukoba panda Friends iko poa mkuu utatumia siku mbili kufika pia Friends ina route za kwenda huko Juba.
 
Zingatia habari n picha ukifika kampala mulunjinyoo mukwano

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom