Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 8,817
- 21,235
Kwa msaada wa google, ulimaanisha nini kati ya hivi;Ni OVYO mkuu sio HOVYO.
Kwa msaada wa google, ulimaanisha nini kati ya hivi;Ni OVYO mkuu sio HOVYO.
Neno OVYO maana yake ni "isiyokuwa na mpangilio maalumu"Kwa msaada wa google, ulimaanisha nini kati ya hivi;View attachment 2596470View attachment 2596471
Dogo unarekebishwa halafu unacharuka, hutaki kukosolewa sio!!Sawa nimekuelewa broo haina shida asnte kwa ushuri wako na asnte kwakujua kuaelimu haipo upande wangu mtabili wangu
Mkuuu mwonee huruma mtotoKwa uandishi huo,nakushauri achana na mambo ya shule.
Hiyo pesa ya ada jaribu kuwekeza kwenye mambo mengine yasiyohusiana na elimu.
Naomba mwacheni mtotoNchi hii inaelekea kusini kwa kasi km ndio hapa tumefika mwanafunzi aliyefaulu kwenda chuo kikuu hajui kusoma na kuandika vzr!
Hivi UDOM bado ni chuo cha kata? 2008 wakati tunaanza chuo tuliwatania sana jamaa wa udom, kumbe wao wakachukulia personal ilikuwa chuki kali sana .Usiende Udom chuo cha kata
Wao wanajua kuwa ni kata ila tunawatania tu tuone reaction zao😅Hivi UDOM bado ni chuo cha kata? 2008 wakati tunaanza chuo tuliwatania sana jamaa wa udom, kumbe wao wakachukulia personal ilikuwa chuki kali sana .
NakaziaFuga samaki kwa njia ya vizimba. Achana na chuo
Wao wanajua kuwa ni kata ila tunawatania tu tuone reaction zao
Ushamuachisha kunyonya Ankoli ?Fuga samaki kwa njia ya vizimba. Achana na chuo
Achana na wapumbavu mkuuuuSikia nikwambie nimeuliza tu sawa huenda nikanilikosea kweny kuandika ama laa ila jaribu kua na ushuri wamaana kama umeshindwa we pita tu sio kuaza kushauli ujinga alf nikisha acha shule we utafaidika na nn kama ww uliacha kwa sababu ya kuandika ni peke yako sawa jamaa
Si vzuri hivi jifunze kua na nidhamuKwa uandishi huo,nakushauri achana na mambo ya shule.
Hiyo pesa ya ada jaribu kuwekeza kwenye mambo mengine yasiyohusiana na elimu.
KabisaAchana na wapumbavu mkuuuu