KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 546
watanzania bwana !! kila unapoenda safarinii hawata kosa chakukuagiza
"ukienda mwanza utasikia utuletee samaki !! ukienda mbeya utuletee mchele na maparachichi!! ukienda mtwara utuletee korosho!! ukienda bukoba utuletee nizi!! ukienda zanzibar utuletee tv na deckii!! ukienda singida utuletee mafuta ya alizeti!! mbaya zaidi sasa ukienda iringa utasikia utuletee msichana wa kazi(beki tatu)!!
haya mi naenda chooni sasa nikuleteee nini"