Naelekea kwenye usaili NIC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naelekea kwenye usaili NIC

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by cielo, Nov 14, 2011.

 1. c

  cielo Senior Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman ndo naenda kwny usahili huko nic...karibuni wote
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  kila heri. Kumbe hii kamouni bado inajivuta kama ttcl.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  unaenda kuuwa proffesional yako pale
   
 4. L

  Lutifya JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 60
  Karibu sana na nakutakia kila la heri. usikatishwa tamaa na baadhi ya maoni ya wakuu, NIC imekuwa restructured upya inaoperate vizuri kwa sasa. Nafanya kazi NIC.
   
 5. M

  Mwana UoA Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka mbona tumetoka huko muda kitambo watu zaidi ya elfu sita
   
Loading...