naelekea shamba hali ya hewa ni nzuri na tulivu kwa sasa niko nakaribia mkuranga kweli dar hali ya hewa yake ni ya msongamano tu..karibunI ikwiriri rufiji wana jf, kwanI kuna mashamba ya kutosha udongo wenye rutuba pia na kama unauwezo unaweza miliki ekari za kutosha..good morning all
ikwiriri posta.....hapo naingia kuliaa sehemu inaitwa mbunjo syo mbali na barabara.......karibu mkuu
ikwiriri posta.....hapo naingia kuliaa sehemu inaitwa mbunjo syo mbali na barabara.......karibu mkuu
mmh ipi hiyo?kuna ili nyama tamu kuliko zote na maji ya mende ?
mmh ipi hiyo?
njoo ukalie hicho kiti cha moto na mwenzake bia hii weekIle kiti cha moto na bia
njoo ukalie hicho kiti cha moto na mwenzake bia hii week