Peterson jr
Member
- Jan 6, 2018
- 12
- 7
Amani iwe nanyi, tangu tupate uhuru watanzania tumeongozwa na ccm na kuna kila dalili tutaendelea kuongozwa na ccm tena safari hii tutaongozwa kwa mabavu.
Nimetafakari Kwa kina na kugundua chama cha mapinduzi ni genge la wezi waliotubia kwa takribani miaka37 na bado wanalindana na kuendelea kutuibia.
Ukiangalia mikataba yote ya kinyonyaji inayoliangamiza taifa wamesaini ccm na mbaya zaidi mwenyekiti wa chama anasimama hadharani na kusema tusiwataje wala kuwajadili wezi wote wezi wote wakubwa ni vibaya na dhambi.
Ukiangalia ishu km ya airtel, Madini, uwindaji, uvunaji magogo, uvuvi, umeme n. K ni wizi wa mchana kweupe cha kushangaza wezi hawachukuliwi hatua yoyote ile ila vidagaa ndo vinachukuliwa hatua. Ukiangalia kwa makini utangudua ccm ndo waliotufikisha hapa tulipo kwenye lindi la umaskini na mdororo wa fikra.
Leo hii sishangai mwenyekiti wa ccm anavyokanyaga Katiba yetu na kukaa juu ya sheria kwamba nchi itaongozwa kwa matamko na sio sheria. Wala cjashangaa kuzuiliwa mikutano ya kisiasa na kupotezwa kwa wote wanaomkosoa mtukufu.
Ccm wanahitaji kuongoza nchi hii milele ili kuuficha uovu wao na kuhakikisha hawashitakiwi mahakamani. Km kweli mwenyekiti Anania njema ya kukomesha mafisadi najiuliza kwanini anawalinda mafisadi papa kwa nguvu Kibwa namna hii? Nikifikiria hili nadiriki kusema ccm ni wakala wa kila uovu na uonevu ktk taifa hili.
Mwenyezi mungu cku moja awalaani hawa wanafiki ccm wapotee usoni mwa dunia, mungu ibariki tanzania.