Nadharia ya Kutunguliwa Ndege Ya Ukraine

Nadharia ya Kutunguliwa Ndege Ya Ukraine

shamimuodd

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,191
Reaction score
2,119
US kama wanao uwezo wa kutumia technolojia kuongoza hizo ndege za Boeing, maana yake ndege hiyo ya Ukraine waliona ni target nzuri kwa sababu:

1. Ilikuwa na raia wengi wa Irani
2. Vifo vya wa Iran wengi kungepunguza uungwaji mkono wa serikali ya Iran, maana wananchi wanakuwa na hasira za kufiwa na ndugu zao.

Hivyo inawezekana US walitumia technolojia zao kwa kuingoza hiyo ndege kuelekea sehemu za jeshi ili itunguliwe.

Je kuna nadharia nyingine?
 
Back
Top Bottom