Bodi 😂 😂Bodi ya chai
Siku moja mkuu toa mada ya hoja hii, napenda kufuatilia habari hizi.Siyo majibtu, hata wewe mwenyewe mwili wako una mabaki ya dinousar, wanyama wa kale, watu walioishi kale.
Everything is recycled.
Ndugu zanguni....Ndio kwa mujibu ya Wanasayansi wamesema kuwa haya maji yote tunayoyatumia kunywa, kuoga, kupikia na matumizi mingine ni mikojo ya wanyama wa kale wanaoitwa Dinosauri
Wanadai kuwa kabla ya binaadamu kuwepo ....dinosauri walikuwepo duniani kwa zaidi ya miaka milion 200 na waliishi katika mabara yote ...yaani walikuwepo dunia nzima...na zama walizoishi ziliitwa zama za Mesozoic na walipotea duniani miaka 66 iliyopita kwa maana hadi katika miaka ya 1950 dinosauri bado walikuwepo duniani na kulikuwepo na ziaid ya aina 900 za dinosauri duniani
Wataalamu hao wamesema kuwa maji yaliyokuwepo yalinywewa na wanyama hao kwa miaka hiyo yote na ilirudi kama mikojo
Kama sasa hivi unapokunywa maji na kwenda kukojoa...basi ndivyo ilivyo kwa dinosauri ambao walikunywa maji yaliyokuwepo duniani kisha wakayarejesha kama mikojo
Wataalamu hao wanasema kuwa hadi sasa hivi binaadamu ameishi duniani kwa miaka 200,000 tu wakati dinosauri wameishi duniani kwa zaidi ta miaka milion 200 duniani
Kutokana na huvyo yale maji yaliokuwepo yote yalinywewa na dinosauri na kurudi duniani kama mikojo
Wataalamu wanasema kuwa kwa idadi binaadamu ni wengi kuliko idadi ya dinosauri wote waliowahi kuishi duniani lakini miaka waliyoishi dinosauri hapa duniani ni mingi sana kushinda binaadamu hiyo ndio iliyopelekea dinosauri kutumia kiasi kikubwa cha maji kuliko binadamu
Hivyo unapokunywa glasi 3 za maji ni sawa na umekunywa glasi 3 za mikojo ya dinosauri...haijalishi ni maji ya bomba, maji ya mlimani au maji ta kwenye chupa
Credit BWANA FACT
View attachment 2951088
Na hao dinasaurs maji waliyokunywa ulikuwa mkojo wa nani? Mara maji yaliletwa na kimondo kilichoanguka duniani.. mara mara mara ... In short hawana majibuNdio kwa mujibu ya Wanasayansi wamesema kuwa haya maji yote tunayoyatumia kunywa, kuoga, kupikia na matumizi mingine ni mikojo ya wanyama wa kale wanaoitwa Dinosauri
Wanadai kuwa kabla ya binaadamu kuwepo ....dinosauri walikuwepo duniani kwa zaidi ya miaka milion 200 na waliishi katika mabara yote ...yaani walikuwepo dunia nzima...na zama walizoishi ziliitwa zama za Mesozoic na walipotea duniani miaka 66 iliyopita kwa maana hadi katika miaka ya 1950 dinosauri bado walikuwepo duniani na kulikuwepo na ziaid ya aina 900 za dinosauri duniani
Wataalamu hao wamesema kuwa maji yaliyokuwepo yalinywewa na wanyama hao kwa miaka hiyo yote na ilirudi kama mikojo
Kama sasa hivi unapokunywa maji na kwenda kukojoa...basi ndivyo ilivyo kwa dinosauri ambao walikunywa maji yaliyokuwepo duniani kisha wakayarejesha kama mikojo
Wataalamu hao wanasema kuwa hadi sasa hivi binaadamu ameishi duniani kwa miaka 200,000 tu wakati dinosauri wameishi duniani kwa zaidi ta miaka milion 200 duniani
Kutokana na huvyo yale maji yaliokuwepo yote yalinywewa na dinosauri na kurudi duniani kama mikojo
Wataalamu wanasema kuwa kwa idadi binaadamu ni wengi kuliko idadi ya dinosauri wote waliowahi kuishi duniani lakini miaka waliyoishi dinosauri hapa duniani ni mingi sana kushinda binaadamu hiyo ndio iliyopelekea dinosauri kutumia kiasi kikubwa cha maji kuliko binadamu
Hivyo unapokunywa glasi 3 za maji ni sawa na umekunywa glasi 3 za mikojo ya dinosauri...haijalishi ni maji ya bomba, maji ya mlimani au maji ta kwenye chupa
Credit BWANA FACT
View attachment 2951088
Nakusahihisha sio Mtwara Bali alipatikana mkoa wa LINDI tendeguru panaitwa. asanteNashindwa kuelewa tu imekuwaje wanyama wa kale wapotee wote kabsa wakati walikuwa wanazaliana ukiangalia hata yule dinosaur aliyepatika. Mtwara akaenda kuwekwa museum ya ujeruman aligundulika 1918 Kwa nini viumbe hawa wapotee wote wasiache hata vizazi vyao utakuja kugundua walifanyima Extermination Yan waliuwawa wote mpka vizalia vyao Kwa ajili ya kutupisha binadamu sisi tuishi ila swali la msingi nani ana uwezo wa kuuwa viumbe wote hao na miaka hiyo hiyo kujengwa ma pyramid kibao mexico,misri n.k hatuko peke yetu Kama tunavyo dhani hata kama tuna muamini mungu basi pia Kuna viumbe wengine wenye nguvu
Asante mkuuNakusahihisha sio Mtwara Bali alipatikana mkoa wa LINDI tendeguru panaitwa. asante