UTEKELEZAJI???Ndio maana Samia katika bajeti ya mwaka huu ametenga Billion 100 kujenga vyuo vya ufundi katika Wilaya ambazo hazina vyuo hivyo. Lengo lake ni kujenga vyuo vya ufundi katika Wilaya zote Tanzania. Halafu kujenga vyuo vya ufundi kitaifa kwa ajili ya highly and rare skills, vikipokea wanafunzi kutoka kwenye hivyo vyuo vya chini. Lakini pia ujenzi wa chuo kikuu cha TEHAMA kitachichoe ubunifu unaotakiwa katika Dunia ya leo.
Walau wanawake mmekuwa "considerate" kwenye maendeleo ya kweli kea watanzania.
Mawazo yako yanaonesha akili imeanza kuchoka na una stress KaliHello Great Thinkers...
Leo nimefikiria kitu nikaona nikilete ili tujadiliane kwa mapana kwa ajili ya Ustawi wa Nchi yetu...
Nimeona tuwe na hivi Vyuo vya Ufundi Stadi vingi nchini Tanzania...
Viwe vinatoa courses kama Upishi,Ushonaji,Make up,Kupaka rangi Nyumba,Umeme,n.k
Vyuo hivi Ada yake iwe Free
Vyuo viwe kwa ajili ya watu ambao ni Tegemezi kwa sasa, labda circumstances zimewafanya wawe tegemezi...
Utegemezi unakuja kwa sababu tofauti, wazazi kukosa ada zamani ,(sababu mfumo wa kusoma ulikuwa ni wa malipo), kukatiza masomo labda kwa sababu ya mimba, utoro, n.k ni Mambo ambayo yamesababisha watu wasipate Elimu ipasavyo na baadae kupunguza chances zao za kupata kazi/kipato,(secured income),
Magroup yanayokuwa affected zaidi ni yale ya vijana/watoto wanaoishi kwenye Mazingira Magumu,Yatima, Adults walio miss Education Opportunities hapo awali...Na watu ambao wamepoteza ajira zao Rasmi.
Hii inaongeza Vulnerability...
Ili kula na ku survive Makundi haya yanakuwa exploited Financially (labda kazi kwa ujira mdogo),Sexually (harassment,Assault,Rape) etc.
Kupunguza hii Vulnerability,
Serikali ifikirie kutarget hawa watu/hili kundi specific
Kwa kuwapa skills ili wajitegemee.
Wakishakuwa wamejengewa capability na serikali kwa kupewa skills then wataingia rasmi kwenye Uzalishaji.
Uzalishaji ina a sense wanaweza Kujiajiri sasa ama Serikali inaweza kuwapa Ajira sababu tayari watu wana Skills.
Ningependa kuona baada ya kupewa skills na kupata Ajira watu hawa wanalipa kodi, ( I know it sucks yeah,kuona yote inaenda kwa Mafisadi,LOL).
Ila Kodi wanayolipa itumike mostly kwenye Kuendesha vyuo hivi na kidogo ndio iende kwenye Mambo Mengine.
I really think kama kweli Serikali bila Mafisadi inataka kuongeza Tax base na Kupunguza Mzigo kwa Serikali then moja ya vitu vinavyotakiwa Kufanywa ni pamoja na Kuwafanya watu wale Unemployable kuwa Employable. Na moja ya Magroup ambayo yako Unemployable ni haya niliyotaja kwenye hii topic.
Mnaonaje hili wazo??????
Ukijaribu kuchunguza japo kidogo utabaini Samia ni mtekelezaji sana wa ahadi zake. Angalia ya Bodi ya mikopo, ahadi kwa watumishi, kodi za dhuluma, uanzishwaji wa mashamba makubwa nk.UTEKELEZAJI???
Wazo ni zuri tena zuri sana.
1. Fedha za kujenga, kuendesha hivyo Vyuo zitatoka wapi kabla ya kuanza kutegemea kodi za walisoma ili vianze kujiendesha vyenyewe?
2. Nafasi za Ajira na hata Fursa za Mikopo ya Kujiajiri hutolewa kwa Vigezo vyenye Ubaguzi sana hata Masuala ya Ufundi ni lazima uwe umesomea VETA au NIT pekee.
3. Ni Vigumu sana kuondoa Ufisadi katika Serikali kama ilivyo Ngumu kwa Mama kumuadhibu/ kumuajibisha Mtoto wake kwa Kosa la Kifamilia.
upo sawa kabisa.Hello Great Thinkers...
Leo nimefikiria kitu nikaona nikilete ili tujadiliane kwa mapana kwa ajili ya Ustawi wa Nchi yetu...
Nimeona tuwe na hivi Vyuo vya Ufundi Stadi vingi nchini Tanzania...
Viwe vinatoa courses kama Upishi,Ushonaji,Make up,Kupaka rangi Nyumba,Umeme,n.k
Vyuo hivi Ada yake iwe Free
Vyuo viwe kwa ajili ya watu ambao ni Tegemezi kwa sasa, labda circumstances zimewafanya wawe tegemezi...
Utegemezi unakuja kwa sababu tofauti, wazazi kukosa ada zamani ,(sababu mfumo wa kusoma ulikuwa ni wa malipo), kukatiza masomo labda kwa sababu ya mimba, utoro, n.k ni Mambo ambayo yamesababisha watu wasipate Elimu ipasavyo na baadae kupunguza chances zao za kupata kazi/kipato,(secured income),
Magroup yanayokuwa affected zaidi ni yale ya vijana/watoto wanaoishi kwenye Mazingira Magumu,Yatima, Adults walio miss Education Opportunities hapo awali...Na watu ambao wamepoteza ajira zao Rasmi.
Hii inaongeza Vulnerability...
Ili kula na ku survive Makundi haya yanakuwa exploited Financially (labda kazi kwa ujira mdogo),Sexually (harassment,Assault,Rape) etc.
Kupunguza hii Vulnerability,
Serikali ifikirie kutarget hawa watu/hili kundi specific
Kwa kuwapa skills ili wajitegemee.
Wakishakuwa wamejengewa capability na serikali kwa kupewa skills then wataingia rasmi kwenye Uzalishaji.
Uzalishaji ina a sense wanaweza Kujiajiri sasa ama Serikali inaweza kuwapa Ajira sababu tayari watu wana Skills.
Ningependa kuona baada ya kupewa skills na kupata Ajira watu hawa wanalipa kodi, ( I know it sucks yeah,kuona yote inaenda kwa Mafisadi,LOL).
Ila Kodi wanayolipa itumike mostly kwenye Kuendesha vyuo hivi na kidogo ndio iende kwenye Mambo Mengine.
I really think kama kweli Serikali bila Mafisadi inataka kuongeza Tax base na Kupunguza Mzigo kwa Serikali then moja ya vitu vinavyotakiwa Kufanywa ni pamoja na Kuwafanya watu wale Unemployable kuwa Employable. Na moja ya Magroup ambayo yako Unemployable ni haya niliyotaja kwenye hii topic.
Mnaonaje hili wazo??????
upo sawa kabisa.
Ila bure bure hapana inatakiwa achangie iliajue thamani ya elimu anayoipata. Maana kama anakihitaji atachukulia serious, ila hii oya oya hapana.
Mfano uliowazi saa hivi kuna NGO (kanda ya ziwa) naona zina-finance kwa ma-housegals na house boys kupata mafunzo katika vyuo vya kati FDC.
Ila chakushangaza wengi nawaona wanaenda ilimladi tu, kwa sababu fursa imejileta wanaona fresh tu kwani nini.
Hata mi mwenyewe nikipewa mbususu bure lazima ni shituke.
Pole sana! Mwanadamu hawezi kuuona uso wake bila kusaidiwa na Kioo. Sie ni Vioo vyenu. Punguza stress au umri (Ukitoka muda wa kuacha kutumia) unasababisha stress, hiyo ni khali ya kawaida hasa kama hujaolewaMkuu tusitafutane tafadhali, sijui nyie mnaochokoza watu humu kama sio nyie ndio mna mastress..asubuhi yote unamparamia mtu....msonyoooooooooooooo
Mabadiliko ya mfumo wa uhitaji, nchi kuwa na vyuo vikuu vingi ni kuongeza idadi ya masikini nchini. Mtu unamaliza chuo then unapambana miaka 10 kusaka ajira rasmi hadi unapita umri wa vigezo vya umri wa kuajiriwa, ushapoteza pesa na mda, ajira zimegoma pesa ya mkopo hairudi sababu huna ajira. Huu ni upumbavu, elimu sahihi nchini ni mfumo alioacha mkoloni watu wasome hadi la nane kisha vyuo vya ufundi akimaliza chuo tayari ana ujuzi
Hela inarudi kwenye uzalishaji si watazalisha si watalipa kodi pia watachochea ukuaji wa uchumi.upo sawa kabisa.
Ila bure bure hapana inatakiwa achangie iliajue thamani ya elimu anayoipata. Maana kama anakihitaji atachukulia serious, ila hii oya oya hapana.
Mfano uliowazi saa hivi kuna NGO (kanda ya ziwa) naona zina-finance kwa ma-housegals na house boys kupata mafunzo katika vyuo vya kati FDC.
Ila chakushangaza wengi nawaona wanaenda ilimladi tu, kwa sababu fursa imejileta wanaona fresh tu kwani nini.
Hata mi mwenyewe nikipewa mbususu bure lazima ni shituke.
huo ulikuwa mpango wa Magufuli, waziri mkuu Majaliwa alianzisha kitu kinaitwa kurasimisha vyeti ambapo zilikuwa zinatoka nafasi kwa vijana wenye ujuzi mbalimbali lakini hawakupitia shule wanapata nafasi ya kusoma VETA kwa muda wa miezi 6 na kupewa vyeti.
pia JPM alikuwa na mkakati wa kujenga VETA kila kata kwa ajili ya vijana wengi kupata elimu ya ufundi.