Nadhani ninashea mwanamke na CRDB

Pole sana mkuu Bujibuji, inawezekana ni technical problems ukizingatia kuwa uhitaji wa huduma ya ATM huwa inaongezeka katika msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ko mwanamke wako atakuwa safe I hope.
 
1:52 upo kwenye atm? Ama itm? Hamsha popo.
 
Kwa kuangalia saa yangu naona uko tilalila, rudi nyumbani mkuu zingine utatoa kesho na hii ni long weekend


Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
mh....peasa zenyewe zipo?????isije ikawa kuna 1000 den unawalaumu...hata ivyo wanakupunguzia bajet labda ungetoa pesa zote na kutumia vibaya...
 
Haaahaa duh pasaka ilinikuta hii situation kaka mpk nlipiga simu kwa wahusika namba ziko kwny ATM nashukuru binti alinielewa bila kupewa mkopo ningeng'oa mashine nimecheka sanaaaa...this tym mapema nina chapaa kwa wallet.
 
Hahahaah! Pole sana kwa yaliyokukuta. Ila baadae lakini atm itatulia.
 
Siku za sikukuu inapaswa kuchukua mshiko mapema sana...
 
Natamani ingenikuta mimi hiyo nadhani ningeishi kwa bajeti kali sana haka ka msimu.
 
Hivi mpaka tarehe ya leo kuna mtu 'mjanja' anapanga foleni kwenye atm? Tena kwa crdb? Nina muda mrefu hata sijui kadi yangu ya atm iko wapi. Mi huwa nazivuta tu kwenye mpesa kwa kutumia simbanking. Piga *150*04#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…