chifusongea
Senior Member
- Jan 8, 2016
- 164
- 154
Kuna mdada nipo naye kwenye mahusiano kama mwaka sasa lakini kila tukionana au nikilala naye lazima aniombe hela.Sasa najiuliza huyu ni girlfriend au ananiuzia.?Girlfriend Kwa ninavyofahamu hakuombi Bali unampa mwenyewe na akiomba ujue ana shida Fulani.lakini huyu kazidi jamani.