Napinga Hoja yako kwa kutumia kifungu cha Na. 16 ibara 3 na kifungu kidogo 1.1 kinachosema mtoto wa mwenzio ni wako mlee na umthamini sasa huyu mmama anabemenda vitoto vya watu, kwa hiyo kifungu na 16 kinamtia hatiani kwani amefanya kosa la kubaka wakati anajua ana umri mkubwa.