The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,903
- 2,884
Naikumbuka sana siku ya 9 Disemba siku ambayo mheshmiwa Kikwete alijibu hoja kwa kuwarushia vijembe waliokuwa wakimwandama.
Moja ya gazeti lililokuwa na machapisho mbalimbali yanayomhusisha huyu mheshmiwa au familia yake na miradi mbalimbali tatanishi ni gazeti la Jamhuri.
Akipangua hoja hizo mheshmiwa aliuliza kwa kejeli ''wanasema JK hachomoi kwani nilichomeka nini, aliwashnda uchaguzi ninyi mnaniandama mimi.
Kwa bahati mbaya au nzuri mheshmiwa rais ameibuka na kulisifia Jamhuri hadharani nadhani JK aiulize upya nafsi yake!