Omba tu moja kwa moja chuoni kwa kujaza fomu, web yao haipo hewani na wamelala usingizi kabisa ili hali wametangaza dirisha la kufanya applicationWakuu kwema
Naomba kuuliza ivi hii page ya nactvect ni kwangu tu au Maan leo siku ya tatu haifunguki nataka kufanya application za vyuo
Naomba ufafanuzi zaidi Maan niliskia maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa CAS sasa hiyo ya kujafa form ipoje ipojeOmba tu moja kwa moja chuoni kwa kujaza fomu, web yao haipo hewani na wamelala usingizi kabisa ili hali wametangaza dirisha la kufanya application