The Great Haya JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 1,799 Reaction score 1,680 May 16, 2017 #1 NACTE walisema kufungua application tarehe 15 mwezi huu wa tano lakin hata application guide book haipo!!!
NACTE walisema kufungua application tarehe 15 mwezi huu wa tano lakin hata application guide book haipo!!!
Commandant D Member Joined Feb 11, 2017 Posts 39 Reaction score 31 May 16, 2017 #2 Mkuu wametoa baadhi ya vyuo vya afya uvipitie vya serikali na government
Landcruser Senior Member Joined Mar 24, 2017 Posts 179 Reaction score 344 May 16, 2017 #3 danny00 said: Mkuu wametoa baadhi ya vyuo vya afya uvipitie vya serikali na government Click to expand... Mkuu serikali na government ni nini?
danny00 said: Mkuu wametoa baadhi ya vyuo vya afya uvipitie vya serikali na government Click to expand... Mkuu serikali na government ni nini?
Commandant D Member Joined Feb 11, 2017 Posts 39 Reaction score 31 May 16, 2017 #4 Sorry na private nilipitiwa
The Great Haya JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 1,799 Reaction score 1,680 May 16, 2017 Thread starter #5 danny00 said: Mkuu wametoa baadhi ya vyuo vya afya uvipitie vya serikali na government Click to expand... Kwenye tangazo walisema application zitafanyika kupitia vyuoni au NACTE (elimu na afya) ila ukifungua nacte hamna kitu
danny00 said: Mkuu wametoa baadhi ya vyuo vya afya uvipitie vya serikali na government Click to expand... Kwenye tangazo walisema application zitafanyika kupitia vyuoni au NACTE (elimu na afya) ila ukifungua nacte hamna kitu
Commandant D Member Joined Feb 11, 2017 Posts 39 Reaction score 31 May 16, 2017 #6 Nacte watafungua ila naona wanaandaa utaratibu pia unaweza ukaenda chuoni kuomba moja kwa moja
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,981 Reaction score 56,006 May 16, 2017 #7 Mnaotarajia kujisajili moja kwa moja vyuoni muwe makini isejefika mahali ukaambiwa haukuwa na sifa ambazo NACTE wanazihitaji
Mnaotarajia kujisajili moja kwa moja vyuoni muwe makini isejefika mahali ukaambiwa haukuwa na sifa ambazo NACTE wanazihitaji
M murugu JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 238 Reaction score 43 May 16, 2017 #8 Mtoto halali na hela said: Mnaotarajia kujisajili moja kwa moja vyuoni muwe makini isejefika mahali ukaambiwa haukuwa na sifa ambazo NACTE wanazihitaji Click to expand... Naunga mkono hoja hii. Wasiwarubuni sifa zilizoonyeshwa hapo ndio zinazohitajika na vyuo ni hivyo tu vilivyo onyeshwa kwa sekta ya afya. Tuweni makini maana huu uhuru wa manyani twaweza tapeliwa.
Mtoto halali na hela said: Mnaotarajia kujisajili moja kwa moja vyuoni muwe makini isejefika mahali ukaambiwa haukuwa na sifa ambazo NACTE wanazihitaji Click to expand... Naunga mkono hoja hii. Wasiwarubuni sifa zilizoonyeshwa hapo ndio zinazohitajika na vyuo ni hivyo tu vilivyo onyeshwa kwa sekta ya afya. Tuweni makini maana huu uhuru wa manyani twaweza tapeliwa.
Brownj Senior Member Joined May 8, 2017 Posts 139 Reaction score 81 May 16, 2017 #9 danny00 said: Nacte watafungua ila naona wanaandaa utaratibu pia unaweza ukaenda chuoni kuomba moja kwa moja Click to expand... Muhimbili wamebandika tangazo nlienda wamesema hawadahili tusubir system ya nacte
danny00 said: Nacte watafungua ila naona wanaandaa utaratibu pia unaweza ukaenda chuoni kuomba moja kwa moja Click to expand... Muhimbili wamebandika tangazo nlienda wamesema hawadahili tusubir system ya nacte