NACTE WEKENI WAZI

NACTE WEKENI WAZI

EMII

Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
69
Reaction score
34
NACTE jana imesitisha ufanyaji wa mtihani wa taifa kwa kozi ya COMMUNITY HEALTH ambapo watahiniwa wangehitimu Leo. Ombi langu kwa NACTE ni: watoe tamko wazi kama watahiniwa wataendelea na masomo yaliyokuwa yamesalia au wataanza upya. Wadogo zetu vyuoni wamekata tamaa kabisa na hawajui nini kinafata. Kama wataanza upya itakuwa ni mzigo uliotwishwa kwa ndugu zetu na wadogo zetu kwa uzembe wa mamlaka husika... Ni maoni tu
 
wamesitishaje sasa??fanunua vizuri na upo mwaka wa ngapi na chuo gani?
 
Back
Top Bottom