Hakuna namna itabidi mpambane nao tupia umesahau wale waliomalza advance na kupata division three pia wao wanasubiri.... competition kubwa mno.
hicho ndo kinafanya nalalamika watoe majibu mapema ili wazazi watafute karo, mzazi atatafuta vipi karo na hana uahakika kama umechaguliwaAda ya clinical medicine ni balaa.Wamilki wa vyuo wanalalamika gharama za uendeshaji wa kozi hii ni kubwa kutokana na taratibu za Nacte na wizara ya afya yaani gharama kama wanakomoa watu
hapana wote tunasubir matokeo kama wewe tu ya nacte so tuwe tunafarijiana na kupeana updatessi nimekugundua umetumwa na NACTE 😀😀😀😀
nisirudie??? ni haki yangu kulalamika sikutuma maombi bure nimelipia alafu kama wewe ni mtu mzima kwenye hii thread umefuata nini acha thread za watoto tafuta za watu wazima kwani umelazimishwa kutoa comment. don't act like you know everthing unless your name is GOOGLEhaka kweli katoto, akat mikitu uko ime risiti miàka mitatu bado akaenda advance na akarisiti tena..................... ha ha ha. ......... na bado alitumaga maombi miaka iyo akaachwa kwa kua vyeti vingi....teh teh teh....... na sasa anasubiri tena first round ilimuacha.......... usirudie tena kuxema form four leaver