Vp wadau mdogo wang kapata chuo cha ualimu, je kunauwezekano wa kubadili programme kutoka level 6 kwenda 7 chuo hichohicho
coz 4m6 ana D, D na B kwenye combi ya PCB
Habar wadau! Naomba kuuliza, nataka nifanye application ya Clinical Officer ngazi ya Diploma, sasa ni muda upi zuri wa kuanza kufanya application hiyo na hasa kwa Intake ya March/Apri kwa mwaka 2019?