NACTE WAMETOA MAJIBU YA APPLICATION

Msaada jamani mwenye kujua post za chuo cha ija kilicho lushoto,
 
Hawa jamaa mbona mimi siwaelewi vipi kuhusu vyuo vya kilimo? Kwa wale waliomba kupitia fomu maalumu za vyuo vya kilimo majibu yanatoka lini
 
NACTE kwenye taarifa kwa umma wamendika hivi:, lakini kwenye website majina hayaonekani labda kwenye profile tu. Kwa kuwa wameandfika "kwenye website NA kwenye profile" tulitegemea majina tuyaone pia kwenye website pia bila kulazimika kuingia kwenye profile. Kwa hiyo waliopoteza profile,password na simu zao na emails zao watafanyaje?
 
nactee awawezi kukuwekeaa majibu wewe unachek kwenye profile yakoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…