NACTE wameshafunga system

naomba kuuliza na je kama umetuma maombi na hujachaguliwa, je unaweza kuomba tena awamu ya pili?
YAH UNAWEZA KUOMBA but usipochaguliwa ujue haukukidhi vigezo vya coz ulzo omba hii ni kutokana na kwamba nafasi ni nyingi hadi nacte wakatangaza kuwa watafungua udahili tena USHAURI kama ukuchaguliwa awamu ya kwanza jarbu kutafuta coz ambazo znaendana na sifa uliyonayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…