ibinadam0442
Member
- Aug 24, 2016
- 9
- 3
ULISHALIWA CCM MATAPELIsema nini hawajamaa inabidi warudishe pesa zetu kama vigezo vya kujiunga na Bachelor tulikosa haliakuwa tuli fanya application mwezi wa Tano wakati GPA ilikuwa 2.7 na guide book ilikuwa inaonyesha hvyo na selection zimetoka tumekosa vyuo si warudishe pesa zetu.Dhuluma hii kama nacte wangekuwa wana msimamo wangepaswa ku stick na GPA ile ile ya kwanza...wametupotezea muda kwa kweli toka mwezi wa tano..?
Kazi ipo
Kumbuka inaandikwaga "fee not refundable"
Ndo ushaliwa
Wewe ndiyo siyo muelewa, kama vigezo vilibadilishwa baada ya watu kuwa wameshatuma maombi kwa kutumia vigezo elekezi vya awali wana haki ya kurudishiwa pesa yao.Non refundable .......uwe mwelewa basi dogo
Wewe ndio unatakiwa kuelewa. NACTE wame-bleach the agreement, kwamba ile fee ni non-refundable iwapo tu mambo yote yaliyoanishwa yatafanyika sawa, na si vingine!Non refundable .......uwe mwelewa basi dogo
Pale ustawi wa jamii nilimlipia mdogo wangu 50,000/- ya kuomba ustawi ...wakasema ukitaka kuomba vyuo zaidi inabidi uongeze 32,000/- kwa iyo baada ya serikali kubadilisha magoli na kubana wamenila 82,000/- malipo halali!!
NACTE watabuluzwa Mahakamani sababu Tangazo waliotoa kipindi Kile Ni GPA 2.7 na watu waliomba kupitia Tangazo hilo mpaka mwisho wa kutuma maombi alafu baada ya mwezi mmoja unatangaza lile Tangazo ni batili kwahiyo Hamna Sifa Hapana NACTE wanayo kesi ya kujibu nchi hii haiendeshwi kifalme inaendeshwa kwa mujibu wa sheria kwa kufuatwa Haki Hawawezi kupotezea watu muda wazungu wanasema Time Is Money
Wewe ndio unatakiwa kuelewa. NACTE wame-bleach the agreement, kwamba ile fee ni non-refundable iwapo tu mambo yote yaliyoanishwa yatafanyika sawa, na si vingine!
Kisheria Kwa mfano Mtu Alitenda Kosa Mwezi wa Kwanza Mwaka Huu Na Kesi Ikaanza Kusikilizwa Mahakamani Mwezi wa pili Na Kulingana na Kesi Akikutwa na Hatia Ni Miaka Miwili Sasa ilipofika Mwezi watatu Sheria ikabadilika Mtu Akitenda Kosa Kama Hilo Ni Kifungo Cha Miaka Mitatu....Je Akikutwa Na Hatia Itatumika Sheria iliyopita Au Ya Zamani?
watawarudishia lini? kama una vigezo mshukuru Mungu wako na sio kuonyesha dharau hapa, aliekupa hivyo vigezo wewe ndo huyo huyo kawanyima wenzio! usijione ndio tayari ushawini maisha, unaweza ukafika chuo mwaka wa kwanza tu ukaliwa kichwa!Lkn si walisema watawarudishia au mwenzetu unataka matangazo waweke humu. Watu wasio na vigezo bwana ni shida! Hebu tafuta mada zingine hii ilisha pitwa na wakati.