naombeni kuuliza baada ya hii round ya kesho kupita wanaweza kuongeza siku nyingine ya kuaapply kwa wale ambao hawakupata nafasi katika hizi round zote zilizopita? msaada tafadhali
Itakuwa ngumu maana kama hukusoma tangazo lao walisema hii ni round ya mwisho baada ya hapo wanasitisha kwa ajili ya kupeleka majina bodi ya mikopo kuendelea na utaratibu wao nao wa kutoa mikopo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.