Binman
Member
- Jul 17, 2016
- 68
- 30
Nacte walivyotoa majina ya waliochaguliwa vyuo walitoa pia na tangazo likiwataka watu waapply ngazi ya cheti na diploma mwisho tarehe 5 agoust,, nikiangalia guide book za afya naona vyuo na corse zake kwa diploma na certificate ,, cha kushangaza nikiingia online kujaza wananiletea vyuo but hakuna diploma ni certificate tu. Shida ni nn diploma zimejaa kwa siku moja au??? JE FORM SIX WALIOPATA 3 WAKAKOSA D MBILI DIPLOMA WANAJAZA LINI???