Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
Ndungu wana jf naombeni mnisaidie kuserch hii index no S1065/0049/2015 'coz nashindwa kuelewa
Sehemu ya search ipo pow nowZikitoka tutAkusaidia kucheki.
ndio nn
Ckujaza coz kama hiyo kkHii nimeongea na nacte wanasema matokeo yaliyobaki ni ya kilimo tu na wanategemea kumalizia uhakiki kesho jioni yatakuwa hewani labda nawe ni mmoja wapo vuta subira
Niaje vipi majina ya ualimu diploma walishatoa?Duuh hatareee
Duuh hatareee